JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Uchumi

BENK KUU YAITAKA AIRTEL KUWASILISHA TAARIFA ZAKE ZA KUANZIA 2000

Kufuatia sakata la umiliki wa kampuni ya mawasiliano ya Airtel, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Disemba 28, 2017 iliziandikia benki zote na taasisi za kifedha ambazo zimekuwa zikisimamia akaunti za iliyokuwa Celtel, Zain au Airtel kuwasilisha taarifa hizo. BoT imezitaka…

ZITTO KABWE AANIKA MALI ZAKE MTANDAONI

Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe leo ameweka taarifa za mali zake zote zikiwemo, madeni anayodaiwa, mshahara na mali alizonazo kwa mwaka 2016, kama sheria inavyoagiza viongozi wa umma. Zitto pia ametoa rai kuwa ni vyema Daftari la Rasilimali na…

SERIKALI YAWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUWASILISHA MALI ZAO NDANI YA MWAKA HUU

KAMISHNA wa Maadili Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu, Harold Nsekela, amesema sheria ya maadili ya viongozi wa umma kupitia kifungu cha 9 (1) (b) inamtaka kiongozi wa ummma kila ifikapo mwisho wa mwaka kupeleka kwa kamishna…

Hivi Ndio Viwango Vya Makato ya Kodi ya Mishahara ya Waajiriwa

MAMLAKA ya Mapato nchini (TRA) imefafanua kuhusu viwango vya kodi, anavyopaswa kukatwa mtu binafsi aliyeajiriwa. Akizungumza kwenye kipindi cha Kodi kwa Maendeleo kinachorushwa na Shirika la Utangazaji nchini (TBC1) wiki hii, Meneja wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi wa…

Waziri Kigwangalla Aunda kamati ya Kuongoza “TANZANIA HERITAGE MONTH”

Waziri wa Maliasili na Utalii Dk.Hamisi Kigwangalla ameunda kamati ya kuongoza maandalizi ya namna watanzania na wageni wa Tanzania watakavyosherehekea Utanzania wao kwenye mwezi maalum utakaojulikana kama “TANZANIA HERITAGE MONTH” Akielezea wakati wa kutangaza kamati hiyo iliyojumlisha wadau mbalimbali wakiwemo…

MAAGIZO 5 YA WAZIRI MHAGAMA KWA PROGRAMU YA MIVARF KUOGEZA THAMANI YA BIASHARA ZA MIFUGO WILAYANI LONGIDO

Waziri wa Nchi Ofisi  ya Waziri Mkuu  (Sera, Bunge, Ajira ,Kazi,  Vijana na Watu wenye Ulemavu ) Mhe.Jenista Mhagama ameielekeza Programu ya Miundo mbinu ya Masoko, Uongezaji wa Thamani na Huduma za Kifedha Vijijini (MIVARF), kuongeza Thamani Biashara za Mifugo…