Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Mafuta na Maji (EWURA) sasa imepiga hatua nyingine na kufanikiwa kudhibiti uchakachuaji wa mafuta ya dizeli na petroli, baada ya kuanza kutumia teknolojia ya vinasaba (maker). Meneja Mawasiliano wa EWURA, Titus Kaguo, ameiambia Jamhuri…
Soma zaidi...