Category: Uchumi
Sekta binafsi ipitie upya tozo
Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na kauli kuwa Tanzania ni ghali sana katika Sekta ya Utalii kwa maana ya gharama anazotumia mtalii kuanzia safari ya anakotoka hadi gharama atakazotumia awapo nchini. Kwanza, ieleweke kuwa gharama hizi zitumiwazo na watalii zimegawanyika…
Mikataba ya mafuta yavunja rekodi robo ya nne 2020
Licha ya Corona kuendelea kuitikisa dunia lakini mikataba inayohusiana na shughuli za mafuta na gesi ziliongezeka katika robo ya nne ya mwaka jana katika eneo la Afrika na Mashariki ya Kati, ripoti inaonyesha. Ripoti iliyotolewa hivi karibuni na GlobalData inaonyesha…
JUKWAA LA WANAWAKE SOMANGILA, KIGAMBONI, LAZINDULIWA
Wanawake wajasiariliamali wametakiwa kutengeneza au kuuza bidhaa zenya ubora wa viwango vinavokubalika ili kuvutia wateja kununua bidhaa zao na kuongeza masoko ndani na nje ya Nchi. Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi wa Uhuru FM Angel Akilimali ambaye alikuwa mgeni rasmi katika…
DK.KAMANI AWAONYA VIONGOZI VYAMA VYA USHIRIKA NCHINI
MWENYEKITI wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika,Dk.Titus Kamani amesema Serikali kupitia tume hiyo ni awaelekeza viongozi wa Vyama vya Ushirika kutojihusisha kuuza mali za vyama hivyo pasipo kuzingatia sheria. Hivyo amesema hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya watakaobainika…
‘BUNDI’ WA MGOGORO WA ARDHI ATUA ARUSHA
Na Charles Ndagulla, Arusha Halmashauri ya Jiji la Arusha imezidi kuandamwa na tuhuma za ugawaji holela wa ardhi inayomilikiwa na watu wengine, hivyo kuzidisha kero na malalamiko kutoka kwa wananchi. Hali hiyo imebainika ikiwa ni takribani wiki moja baada ya…
MAJALIWA: NISHATI JIRIDHISHENI NA UBORA WA VIFAA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Nishati ijiridhishe na ubora wa vifaa vinavyotumiwa na wakandarasi katika miradi ya umeme. Pia iwasimamie wakandarasi hao kwa ukaribu ili kuhakikisha thamani ya miradi inayotekelezwa inalingana na kiasi cha fedha wanacholipwa wakandarasi hao. Ametoa…





