Habari za Kitaifa

Hotuba ya jk

 

Kuna madai ya madaktari yasiyotekelezeka - Rais Kikwete

Mapema mwezi huu, Rais Jakaya Kikwete alihutubia Taifa kama ilivyo ada ya utaratibu wake aliojiwekea kila mwezi. Pamoja na mambo mengine, Rais Kikwete alizungumzia mgomo wa madaktari ulioathiri huduma za afya katika baadhi ya hospitali za umma nchini. Ifuatayo ni sehemu ya hotuba hiyo iliyogusia suala la mgomo wa madaktari.

Read More »

Magufuli moto mkali

*Atangaza kimbunga kwa wavamizi wa barabara
*Afumua mtandao wa ufisadi, gharama ujenzi zashuka
*Flyovers kuanza kujengwa kwa kasi jijini D’ Salaam

Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, ametangaza kiama dhidi ya wavamizi wa hifadhi za barabara nchini, huku akifanikisha kushusha gharama za ujenzi kutoka Sh bilioni 1.8 kwa kilomita moja hadi Sh milioni 700.

Read More »

Hospitali ya Jeshi Lugalo kupandishwa daraja

Serikali imeaanza mipango ya kuipandisha Hospitali Kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Lugalo, kuwa Hospitali ya Rufaa, Bunge limeelezwa.

 

Read More »

HOTUBA YA WAZIRI WA UJENZI

  UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, baada ya Bunge lako Tukufu kupokea taarifa iliyowasilishwa leo hapa Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako tukufu likubali kupokea, kujadili na kupitisha Mpango wa Maendeleo na Makadirio ya Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2012/2013. Mheshimiwa Spika, awali ya yote napenda kuchukua ...

Read More »

Vigogo wa bilioni 300 wakalia kuti kavu

Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema vyombo vya dola vimeanza kuchunguza taarifa za kuwapo kwa zaidi ya Sh bilioni 300 zilizofichwa katika benki nchini Uswisi.

 

Pinda ameliambia Bunge kuwa Serikali imepata taarifa hizo kupitia vyombo vya habari, na kwamba tayari wameanza uchunguzi na baadaye watatangaza matokeo.

 

Read More »

Kashfa uporaji ardhi kubwa…

Pinda ahusishwa

*Mmoja wa washirika ajitoa kuepuka aibu
*Ni Chuo Kikuu cha Iowa cha Marekani
*Yabainika wanaleta teknolojia hatari nchini

Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ameendelea kubanwa kuhusu uamuzi wake wa kuwasaidia Wamarekani kujitwalia ekari laki nane za ardhi kwa miaka 99 mkoani Katavi.

Read More »

Anayetuhumiwa kumteka Dk. Ulimboka azungumza

Dk. Steven Ulimboka

 

*Ni Kamanda Msangi anyeongoza Tume ya kuchunza utekaji ulivyotokea

*Ujumbe wasambazwa kuwa ndiye alimpora simu ya mkononi na ‘wallet’

*Yeye asema amekatishwa tamaa, Professa Museru aeleza alichosikia

Dk. Steven Ulimboka

Askari anayetuhumiwa kumteka Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Nchini, Dk. Stephen Ulimboka, Kamishna wa Polisi Msaidizi (ACP), Ahmed Msangi, amehojiwa na kuzungumzia kilichotokea kuhusiana na tuhuma kwamba aliambiwa arejeshe simu ya mkononi na pochi ya Dk. Ulimboka.

 

Read More »

Vigogo wa bilioni 300 wakalia kuti kavu

Twende tuwekeze Sudan Kusini – Jenerali Kisamba

*Saruji, ngano, vifaa vya ujenzi, alizeti vinahitajika *Asema majirani zetu wameshaanza kunufaika mno   Ushauri umetolewa kwa Tanzania na Watanzania kuamka na kuchangamkia fursa za uwekezaji na biashara zilizojitokeza katika taifa jipya la Sudani Kusini.   Ushauri huo umetolewa na Meja Jenerali Wynjones Kisamba, Naibu Kamanda wa Vikosi vya Kulinda Amani katika Jimbo la Darfur (UNAMID), alipokutana na kubadilishana mawazo ...

Read More »

Kashfa uporaji ardhi kubwa Pinda ahusishwa

Waziri Mkuu Mizengo Pinda

*Mmoja wa washirika ajitoa kuepuka aibu

*Ni Chuo Kikuu cha Iowa cha Marekani

*Yabainika wanaleta teknolojia hatari nchini

[caption id="attachment_124" align="alignleft" width="160"]Waziri Mkuu Mizengo PindaWaziri Mkuu Mizengo Pinda[/caption]Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameendelea kubanwa kuhusu uamuzi wake wa kuwasaidia Wamarekani kujitwalia ekari laki nane za ardhi kwa miaka 99 mkoani Katavi.

Read More »

Nyalandu anavyomhujumu Kagasheki

*Adaiwa kula njama wawekezaji wasilipe kodi

*Aendesha kikao bila Kagasheki kuwa na taarifa

*Bodi ya TANAPA yakataa mapendekezo yake

Mgogoro ulioripotiwa na Gazeti hili la JAMHURI wiki iliyopita kati ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamis Kagasheni na Naibu wake, Lazaro Nyalandu, sasa umechukua sura mpya.

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Nyalandu, ameingia matatani tena baada ya kubainika kuwa anashinikiza Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) lisianze kutoza ‘concession fee’ katika hoteli za kitalii nchini, JAMHURI limebaini.

Uamuzi huo unaikosesha Serikali mapato yanayofikia Sh bilioni 17 kwa mwaka. Jaribio la kwanza la Nyalandu kufanikisha mpango wake liligonga mwamba kwenye kikao chake na menejimenti ya TANAPA, kilichofanyika Juni 8, mwaka huu mjini Moshi.

Read More »

Pinda akunjua makucha rasmi

Waziri Mkuu Mizengo Pinda

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akihutubia Bunge mjini Dodoma hivi karibuniSerikali imesema kuanzia sasa watumishi wabadhirifu wa fedha za umma hawatahamishiwa vituo vingine vya kazi, bali watachunguzwa na ikibainika watafukuzwa kazi mara moja.

Read More »

Katibu Mkuu Nishati amwagiwa sifa

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi, amemwagiwa sifa kwa jinsi alivyowabana watendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na kufanikisha upatikanaji wa mita 85,000 za umeme.

Read More »

Mawaziri wagombana

*Naibu Waziri adaiwa kumhukumu Kagasheki wizarani

 *Atajwa kutoa matamshi ya kumkejeli huko TANAPA

*Waziri asema atamhoji, yeye asema  wanawachonganisha

 

[caption id="attachment_112" align="alignnone"]Waziri wa Maliasili na Utalii Khamis Kagasheki akiwa na Naibu wake, Lazaro Nyalandu kabla hali ya hewa haijachafuka[/caption]

MGOGORO mzito unafukuta ndani ya Wizara ya Maliasili na Utalii, ambapo sasa kuna msuguano mkali kati ya Waziri Khamis Kagasheki na Naibu wake, Lazaro Nyalandu.

Habari za uhakika kutoka ndani ya Wizara hiyo, zinasema kuwa Kagasheki amepata taarifa kutoka kwa baadhi ya watendaji waliokuwa na watu mbalimbali walikuwa Arusha kwenye kikao alichokiendesha Nyalandu kati yake na maafisa wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), alipomkejeli Kagasheki hivi karibuni.

“Katika Mkutano huo, Nyalandu alipoulizwa na wafanyakazi wa TANAPA juu ya hatua ya Waziri Kagasheki kusimamisha watumishi wanne wa TANAPA na askari 28, alisema ‘Waziri alikurupuka.’ Alisema ‘kama Waziri angeshauriana na yeye (Nyalandu) wala asingewasimamisha wafanyakazi hao,” kilisema chanzo chetu.

Read More »

Ikulu kukarabatiwa kwa Sh bilioni 6

Wabunge kadhaa wamejiandaa kuhoji matumizi ya Sh bilioni 6 zilizotengwa kwa ajili ya ukarabati wa Ikulu. Kiasi hicho cha fedha kimetengwa katika bajeti ya mwaka wa fedha wa 2012/2013. Wabunge wanahoji kiasi hicho kikubwa hasa kutokana na kuonekana kuwa kila mwaka wa fedha hutengwa mabilioni ya shilingi kwa kazi hiyo ya ukarabati. Mwaka 2010/2011 zilitengwa Sh bilioni 7.257; na mwaka ...

Read More »

RUSHWA BUNGENI

*Halmashauri Dar zawahonga mil. 25/-
*Mbunge CCM asema Chadema ‘inawaovateki’
Kamati ya Kudumu y Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa inatajwa kuwa miongoni mwa kamati zinazonuka rushwa, na kuna habari kwamba wabunge wengine watatu wataunganishwa na mwenzao katika kesi ya kuomba na kupokea rushwa.

Read More »

NIDA yataja faida za vitambulisho

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imeamua kutoa elimu kwa wananchi, katika mchakato wa kutoa vitambulisho vya uraia kwa Jiji la Dar es Salaam unaotarajiwa kuanza wakati wowote mwanzoni mwa mwezi huu.

Read More »

Kwa msimamo huu wa SMZ Muungano hauponi (1)

Mada hii ilitayarishwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Othman Masoud Othman, na kuwasilishwa katika Mkutano Maalumu ulioandaliwa na Zanzibar Law Society Kuadhimisha Miaka 41 ya Muungano. Ulifanyika katika Hoteli ya Bwawani, Zanzibar mnamo Aprili 23, 2005. Ukisoma aya moja baada ya nyingine, utaona tofauti ndogo mno katika misimamo ya Uamsho na SMZ. Lililo wazi ni kwamba Muungano unakabiliwa na kifo. Endelea...

Read More »

Bila kumpata Kagame wetu tutakwama

Nilipata kusoma makala ya kiongozi wangu wa kitaaluma, Jenerali Ulimwengu, akikosoa Watanzania wenye matamanio ya kumpata ‘Kagame’ wao.

Read More »

Mabomu Mbagala siri zavuja

*Wakubwa walitumia (msiba huo) kutengeneza utajiri binafsi
*Ofisi ya Pinda yahaha kutafuta zaidi ya bilioni fidia mpya
*Waliopunjwa kucheka, hundi hewa milioni 260 zadoda

Miaka mitatu baada ya mabomu kulipuka katika Kambi ya Jeshi Mbagala nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, siri nzito zimeanza kuvuja jinsi wakubwa walivyotumia msiba huo kujitengenezea utajiri binafsi.

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons