Michezo

Simba Yazidi Kuukaribia Ubingwa, Yaikung’uta Mtibwa Sugar Bao 1-0

Simba SC imeendelea kujikita kileleni katika Ligi Kuu Bara baada ya kuitandika Mtibwa Sugar  bao 1-0 kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. Mchezo huo uliokuwa unaambatana na mvua iliyokuwa ikinyesha Uwanjani, ulishuhudiwa nyavu zikitikiswa mnamo dakika ya 24 ya kipindi cha kwanza na Emmanuel Okwi. Okwi alifunga bao hilo akimalizia kazi mpira wa kichwa kutoka kwa John Bocco na kufanya ...

Read More »

Simba Kazini Leo Dhidi ya Mtibwa Bila Majembe Haya

SIMBA SC itawakosa wachezaji wake watatu, mabeki Mganda Juuko Murshid, mzawa Erasto Nyoni na kiungo Mghana, James Kotei katika mchezo wake wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar leo Jumatatu Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro kutokana na kutumikia adhabu ya kadi za njano. Lakini kocha Mkuu wa Simba, Mfaransa Pierre Lechantre anajivunia kurejea kwa, Jonas ...

Read More »

Rufani ya Michael Richard Wabura Bado Kitendawili

Rufani ya Michael Richard Wambura bado kitendawili na hili ni baada ya kamati ya rufaa kuchelewa kutoa maamuzi. Je ni sahihi maamuzi kuchelewa ili haki itendeke au si sahihi kwa kuwa kamati hii imepokea taarifa ya pande zote mbili? Hebu tuzungumze hapa juu ya kile unachokiona kwenye sakata hili kwa kutoa comment yako.  

Read More »

Liverpool Yaiadhibu Manchester City Kombe la UEFA

Michuano ya UEFA Champions League hatua ya robo fainali usiku wa April 4 2018 iliendelea tena kwa michezo miwili kupigwa, FC Barcelona wakiwa katika uwanja wao wa Nou Camp walicheza dhidi ya AS Roma wakati Liverpool walicheza na Man City katika dimba la Anfield. Game kati ya Liverpool dhidi ya Man City ndio ilikuwa inasubiriwa kwa hamu usiku huo, hii ...

Read More »

Simba Sc Mzigoni Leo Kusaka Point za Kubeba Kombe

Simba itakuwa inakibarua dhidi ya wenyeji wa mji huo, Njombe Mji FC, katika mchezo wa ligi kuu bara utakaopigwa majira ya saa 10 jioni. Njombe Mji itakuwa inaikaribisha Simba ikiwa na kumbukumbu mbaya za kuondoshwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho na Stand United ya mjini Shinyanga. Tayari timu zote mbili zimeshakamilisha maandalizi kuelekea mchezo mchezo huo wa leo.

Read More »

Yanga VS Singida United, Kesho Mtoto Hatumwi Dukani Kombe la FA

Kikosi cha Yanga kesho kitashuka dimbani Uwanja wa Namfua kwa ajili ya kucheza dhidi ya Singida United kutafuta nafasi ya kutinga hatua ya nusu fainali Kombe la FA. Yanga ambayo ilikuwa imeweka kambi ya muda mfupi mjini Morogoro, tayari ipo Singida huku ikielezwa wachezaji wake wote wapo fiti kiafya. Kwa mujibu wa Afisa Habari wa Yanga, Dismas Ten, amesema wachezaji ...

Read More »

Tanzania Yaombwa Kuwa Mwenyeji Kombe la Kagame

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limepokea barua kutoka CECAFA ikiomba Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano ya Kombe la Kagame kwa ngazi ya klabu. TFF imepokea barua hiyo leo ikiitaka Tanzania iwe mwenyeji wa michuano hiyo ambayo mara nyingi hufanyika jijini Dar es Salaam inapotokea Tanzania kwa mwenyeji. Kwa mujibu wa Afisa Habari wa TFF, Clifford Mario Ndimbo, amethibitisha shirikisho hilo ...

Read More »

Braziri Yalipa Kisasi, Yaitandika Ujerumani Bao 1-0

Ujerumani walishindwa kwa mara ya kwanza katika mechi 23 baada ya mshambuliaji wa Manchester City Gabriel Jesus kuwafungia Brazil bao moja na kuwapa ushindi wa 1-0 jijini Berlin. Hiyo ilikuwa mara ya kwanza kwa mataifa hayo mawili kukutana uwanjani tangu Ujerumani walipowaaibisha Brazil 7-1 katika nusufainali ya Kombe la Dunia mwaka 2014 mjini Belo Horizonte. Jesus aliwaweka Brazilmbele kwa mpira ...

Read More »

MAJALIWA AIPIGANIA NAMUNGO FC YA JIMBONI KWAKE IPANDE LIGI KUU

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakazi wa wilaya ya Ruangwa washirikiane kuhakikisha ndoto ya timu yao ya mpira wa miguu ya Namungo FC ya kucheza ligi kuu inatimia. Amesema timu hiyo limeupa mkoawa Lindi na wilaya hiyo heshima kubwa imepanda imepanda daraja kutoka ligi daraja la pili kwenda daraja la kwanza katika msimu wa 2018/2019. Waziri Mkuu ameyasema leo (Jumamosi, ...

Read More »

Chelsea yaifuata Manchester United Nusu fainali -FA CUP

Michuano ya FA Cup kuelekea hatua ya nusu fainali imepigwa hapo jana kwa michezo miwili ,Wigan Athletic waliondoshwa na Southampton katika michuano hiyo kwa kichapo cha bao 2-0 , huku Chelsea wakichomoza na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Leceister city kwa magoli ya Alvaro Morata na Pedro Eliezer Rodríguez akifunga katika muda wa nyongeza baada ya dakika 90 za ...

Read More »

WENGER AWATULIZA MASHABIKI WA ARSENAL, AIBABUA AC MILLAN 3-1

Baada ya Arsenal jana kuitandika AC Millan, kwa mabao 3-, uwenda mashabiki wa Arsenal wanaweza kutuliza mzuka wa kumlazimisha Mzee wenga kung’atuka kwenye timu ya Arsenal. Mabao ya Arsenal yalifungwa na Danny Welbeck ambaye alifunga magoli mawili na goli la tatu lilifungwa na Danny Welbeck huku goli la AC Millan lilifungwa na Hakan Calhanoglu Kwa matokeo hayo inaifanya Arsenal ivuke ...

Read More »

BALCELONA YAIDHIBU CHELSEA NA KUITOA NJEE YA MASHINDANO YA UEFA CHAMPIONI LIGI

Baada ya Manchester United Juzi kutupwa nje na Sevilla kutoka Hispain kwa kufungwa mabao 2-1, jana usiku ilikuwa ni zamu ya Chelsea Kutupwa Nje ya Mshindano ya Kombe la UEFA Championi Ligi kwa kufungwa na Barcelona Mabao 3-0, mabao ya Barcelona yaliwekwa kimyani na Messi ambaye alifunga mabao 2, goli la kwanza alifunga dakika ya 2 na goli lake la ...

Read More »

MANCHESTER UNITED YAPINGWA NYUMBANI NA KUTUPWA NJEE YA MASHINDANO YA UEFA CHAMPION LIGI

Manchester United imetupwa njee ya Mashindano UEFA Champions League baada ya kukubali kulala kwa jumla ya mabao 2-1 ikiwa Uwanja wake wa nyumbani, Old Trafford, dhidi ya Sevilla kutoka Spain. Mabao ya Sevilla yamefungwa na Ben Yedder katika ya 74 na 78 kipindi cha pili, huku bao la United likifungwa na Lukaku kwenye dakika ya 84. Katika mchezo wa kwanza ...

Read More »

HATUA YA ROBO FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO “AZAM SPORTS ”KUANZA IJUMAA IJAYO

Hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho ‘Azam Sports Federation Cup’ inatarajia kuendelea Ijumaa ya Machi 30 2018 kwa mchezo mmoja kupigwa. Stand United itakuwa nyumbani kupambana na Njombe Mji katika Uwanja wake wa nyumbani, CCM Kambarage, mchezo utakaoanza saa 10 kamili jioni. Baada ya mchezo huo siku ya Ijumaa, michezo hiyo itaendelea tena Jumamosi ya Machi 31 2018 ...

Read More »

PHILIPPE COUNTINHO AUSHAWISHI UONGOZI WA BARCELONA KUMRUDISHA NEYMAR

Mchezaji wa zamani wa Liverpool, Philippe Coutinho anasema kuwa angependelea mshambuliaji wa Brazil mwenye umri wa miaka 26 Neymar kurudi Barcelona. Neymar alijiunga na PSG kutokea Barca kwa dau lililovunja rekodi la £198m mwisho wa msimu uliopita na kupelekea Barcelona kumsajili Coutinho, amabapo kwa sasa ameweza kufiti katika timu hiyo ya Nou Camp.  

Read More »

TSHITSHIMBI AIBUKA MCHEZAJI BORA WA MWEZI FEBRUARI

Tshitshimbi ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Februari na kuwashinda Emanuel Okwi wa Simba na Buswita. Ametwwa Tuzo hiyo baada ya kutupia mabao matatu na kukisaidia kikosi chake cha Yanga kuibuka na alama 12. Katika kinyang’anyiro hicho Tshitshimbi ameshindana na Pius Buswita wa Yanga SC na Emmanuel Okwi wa Simba SC. Kawaida mshindi wa tuzo hiyo huzawadiwa kitita cha ...

Read More »

Mfalme wa Mchezo wa Tennis abeza mfumo wa seti tano kwa wachezaji

Mfalme wa zamani wa mchezo wa Tenisi mwanamke Billie Jean King amependekeza kuwa mfumo wa kucheza seti tano kwa wanaume michuano ya Gland slam usitumike katika mchezo wa mwisho. Mchezaji huyo wa zamani ambaye alishinda mataji 12 ya Gland yakiwemo sita ya Wimbledon, amesema mfumo huo kwa upande wa wanaume umekuwa ukichukua muda mwingi kucheza , amependekeza kuwa mfumo huo ...

Read More »

Matokeo ya Mechi Zote za Europa Leage Hatua ya 16 Bora Haya Hapa

Hatua ya 16 bora ya michuano ya UEFA Europa League ilichezwa usiku wa March 8 2018 kwa michezo nane kuchezwa barani Ulaya, hizi ni game za kwanza ambazo zimechezwa leo baada ya game za marudiano ndio tutajua timu gani zimeingia robo fainali. Inawezekana ulikuwa mbali na TV na hukupata fursa ya kutazama game zenyewe, naomba nikusogezee matokeo ya game zote ...

Read More »

ARSENAL YAITANDIKA AC MILAN 2-0 UGENINI

Arsenal jana usiku imeifunga Ac Millan  mabao 2-0 kwenye mashindano ya kombe la Euopa Leaue hatua ya 16 bora ugenini kwenye Uwanja wa Giuseppe Meazza Mjini Milani. Mabao ya Arsenal yalifungwa na Henrikh Mkhitaryan kwenye dakika ya 15 na bao la pili lilifungwa na Aaron Ramsey dakika ya 45. Kwa matokeo hayo Arsenal imejiweka kwenye hatua nzuri ya kusonga mbele ...

Read More »

Zifahamu taratibu Kombe la Dunia Urusi

MOSCOW, URUSI Michuano ya Kombe la Dunia inayotarajiwa kufanyika nchini Urusi kuanzia Juni hadi Julai mwaka huu, ni tofauti na michuano mingine ya miaka iliyopita kwa sababu ya sheria za nchi hii ambazo ni tofauti na nyingine. Kanuni na sheria za nchi hii zina utofauti mkubwa ambao umesababisha mabadiliko kadhaa katika masuala ya usafirishaji na usalama; ikiwa ni miongoni mwa ...

Read More »

YANGA YAPOKEA KIPIGO CHA 1-2 TAIFA, DHIDI TOWNSHIP ROLLERS YA BOTSWANA

Mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga dhidi ya Township Rollers ya Botswana, umemalizika katika Uwanja wa Taifa kwa wenyeji kupoteza kwa jumla ya mabao 2-1. Katika dakika 45 za kipindi cha kwanza, Township Rollers ndiyo waliokuwa wa kwanza kupata bao la kwanza mapema kabisa kwenye dakika ya 11 kupitia kwa Lemponye. Baada ya bao hilo la kuongoza ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons