Category: Siasa
Tunalaani usambazaji wa picha chafu
Mchuano wa kuwania uwakilishi wa kwenye uchaguzi wa rais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) unazidi kushika kasi. Wagombea zaidi ya 30; kila mmoja anajitahidi kutumia mbinu, ama halali, au haramu, kutafuta kuungwa mkono. Kwenye mpambano huu kumeonekana mambo ambayo tunaamini…
Katika hili, tunaiomba Serikali itumie busara
Chama cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT) kimeunda timu maalum itakayokwenda bungeni Dodoma, kuwashawishi wabunge wasiupitishe muswada wa Sheria wa Vyombo vya Habari baada ya kubaini umejaa kasoro. Muswada huo ulioandaliwa na Serikali, ulitakiwa kuwasilishwa katika kikao kilichopita kwa…
Uamuzi wa kinafiki unaimaliza CCM
Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CC-CCM), mwishoni mwa wiki iliyopita, imetangaza rasmi kumalizika kwa adhabu dhidi ya wanachama wake sita waliodaiwa kufanya kampeni za urais kabla ya wakati. Uamuzi huo wa Kamati Kuu ya chama hicho ulitolewa na Katibu…
Kweli Afrika Kusini wamesahau fadhila?
Moja ya habari zilizochapishwa kwenye gazeti hili katika toleo lililopita ilihusu tamko la Mfalme wa Kwa Zulu Natal, Goodwill Zwelethini, aliyechanganya mambo. Mfalme Zwelethini anatajwa kuwa nyuma ya vurugu zilizotikisa Afrika Kusini wiki kadhaa zilizopita, ambako aliwaambia wananchi, “Wageni…
Tuweke kando Katiba Inayopendekezwa
Tanzania ni kisiwa cha amani. Kauli hii imezungumzwa mara nyingi na kuwabwetesha Watanzania. Nchi kwa sasa ina mtihani mgumu. Kuna mtihani wa Uchaguzi Mkuu, unaopaswa kufanyika Oktoba, mwaka huu na Katiba Inayopendekezwa inayodhaniwa kuwa kura ya maoni itafanyika Julai, mwaka…
Tusipuuze taarifa hizi
Katika moja ya habari zilizochapishwa kwenye gazeti hili ni taarifa za tishio la ugaidi zinazotolewa na moja ya makundi ya kigaidi linalojihusisha ushambuliaji. Wiki mbili zilizopita, magaidi wa al-Shabaab walifanya shambulio kubwa la kigaidi katika Chuo Kikuu cha Garisa, mpakani…