Category: Siasa
Rais chukua hatua, nchi inamalizwa
Watu wengi wameshtushwa na habari kwamba Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) imetumia Sh bilioni tisa kwa ajili ya posho kwa kikao cha wafanyakazi wa Mamlaka hiyo.
Serikali ilipe madeni mifuko ya jamii
Tuwe makini kuelimisha wananchi Katiba Mpya
Tayari Bunge Maalumu la Katiba limepitisha rasimu ya Katiba inayopendekezwa.
Rasimu hiyo iko tayari kwa ajili ya kupelekwa kwa wananchi kupigiwa kura baada ya kupata akidi ya theluthi mbili iliyotakiwa kisheria kwa upande wa Tanzania Bara na Visiwani.
Wanaoiponda UDA wamekosa uzalendo
Tumetafakari kwa kina juu ya taarifa zinazolaumu “Serikali kubariki ufisadi wa UDA.” Lawama hizo hutolewa na Watanzania wachache sana wanaopinga Kampuni ya wazawa ya Simon Group kuuziwa hisa za UDA.
Hoja za msingi malalamiko hayo ni kwamba Simon Group haikufuata taratibu na sheria, na pia kwamba haikuzingatia thamani halisi ya shirika hilo. Tunachofahamu sisi kwa sasa ni kwamba uuzwaji huo uko sahihi na hakuna kinachoweza kubadilika, kwani taratibu na sheria zote zilizingatiwa kikamilifu wakati wa uuzaji wa hisa za UDA kwa Simon Group.
Ahsante TMF, Kazi ipo kwetu
Miongoni mwa habari zilizopamba gazeti hili leo ni taarifa ya Mfuko wa Vyombo vya Habari nchini (TMF), kutoa ruzuku ya Sh. bilioni 1.7 kwa vyombo vya habari 16.Awali ya yote tunaupongeza mfuko huo kwa namna inavyoratibu shughuli zake na…
UKAWA mwaweza kuchagua vita, amani
Kwa muda wa miaka mitatu nchi yetu imeshuhudia mnyukano wa mchakato wa kupata Katiba mpya. Mnyukano huu ulianza rasmi mwaka 2011 Rais Jakaya Kikwete alipotangaza kuandikwa kwa Katiba mpya. Tangazo la Rais Kikwete lilianzisha mchakato wa kutungwa kwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, ambayo hatimaye imelifikisha taifa katika kupata rasimu.
Habari mpya
- TTCL Yakabidhi Vifaa vya Usafi kwa Jiji la Dar es Salaam
- Rais mpya wa IPU aipa tano Maliasili
- S2Kizzy Kutambulisha Albamu Mpya ya ‘Virus’ Oktoba,2026
- TADB Yaongeza Uwekezaji katika Sekta ya Kahawa
- TTCL Yasisitiza huduma bora kwa wateja
- British Airways kurejea Tanzania, kuanza safari Mei 2027
- Kariakoo Yazindua Kituo cha Huduma kwa Wateja
- TANESCO yang’ara tuzo za umahiri wa mawasiliano kwa umma
- Meya Nicas atoa siku mbili kuzibuliwa kwa mitaro soko la Mnarani , kufanya usafi
- Raia wa Congo aishukuru ORCI kwa huduma ya matibabu ya saratani
- RC Nyongo: Serikali haitavumilia urasimu ama vikwazo vitakavyowakimbiza wawekezaji Pwani
- Serikali yapunguza utitiri wa tozo kwa wasanii
- Spika Zungu akutana na Spika wa Bunge la Uingereza
- Ndejembi akitaka Kituo cha Taifa cha Ufuatiliaji Kaboni kuweka mkazo kwenye miradi yenye tija kwa Watanzania
- Tanzania yatoa wito kwa mataifa ya bahari ya Hindi kuunganisha nguvu kulinda utajiri wa dola biioni 300