Uchumi

Turejeshe Rasilimali za Umma Pasipo Migogoro

Tangu ilipoingia madarakani baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, 2015, Serikali ya Rais John Magufuli imefanya uamuzi mgumu unaohusu kurejesha mali za umma zinazodaiwa kuhujumiwa pasipo kujali maslahi mapana ya nchi. Ipo orodha ndefu ya matukio yanayodhihirisha kufikiwa kwa hatua hiyo, ingawa kwa upande mwingine pamekuwapo wakosoaji wa mbinu na njia zinazotumika katika utekelezaji wake. Pamoja na changamoto zinazosababisha ...

Read More »

Njaa isitufikishe huko

Kwa sisi tuliozaliwa na kukulia vijijini miezi ya Agosti, Septemba, Oktoba, Novemba na Desemba huwa ni miezi ya sherehe, harusi, ngoma za kila aina na hata ndugu kukumbukana (okuzilima). Miezi hii huwa watu wana furaha. Kingazi cha Julai kinakuwa kimekwisha na hata mavuno waliyopata mwezi Machi, inawabidi washindane kuyamaliza ghalani maana Septemba na Oktoba ni miezi ya mavuno. Mahindi kwa ...

Read More »

Ujenzi wa Uzalendo si Suala la Mjadala

Wale wanaosikiliza hotuba za Rais John Magufuli, kuna kitu wanakipata mara kwa mara. Sijasikia hotuba yake yoyote akikosa kutaja neno ‘uzalendo’. Amediriki kusema viongozi, akiwamo yeye, watapita lakini Tanzania itabaki; na ili ibaki, Watanzania wote hatuna budi kuwa wazalendo. Rais anaamini kuwa kwa kujenga uzalendo, Tanzania itakuwa na nguzo imara za kuifanya iwepo leo na hata kesho. Kwa wale wanaosikiliza ...

Read More »

Mafanikio Yoyote Yana Sababu (2)

Kufikiria vizuri ni sababu ya mafanikio. Tazama mbele ufikiri. Papa Fransisko alisema kuna lugha tatu: ya kwanza fikiria vizuri, ya pili hisi vizuri, ya tatu tenda vizuri.  Kufikiria vizuri ni msingi wa mafanikio. Kuna aina mbalimbali za kufikiri. Kwanza ni kufikiria kwa ‘kufokasi’. Fokasi ni mahali miale ya nuru ikutanapo. Kuwa makini na lengo lako. Mambo ambayo si muhimu yanayokuondoa ...

Read More »

Mfuko wa Jimbo ni ukiukaji Katiba

Moja ya hukumu murua kabisa kutolewa na mahakama ya juu kabisa nchini Kenya hivi karibuni, inahusu Mfuko wa Jimbo kwa kutamka pasipo kumung’unya maneno kuwa ni haramu kwa mbunge kugeuka mtendaji wa fedha za umma. Majaji wa Mahakama ya Rufaa ya Kenya wametamka kuwa Sheria ya Mfuko wa Jimbo (Constituency Development Fund Act), ya mwaka 2003 inakiuka Katiba ya nchi ...

Read More »

Maandiko ya Mwalimu Sehemu Maendeleo ni Kazi

Lakini kulipa ni jambo la lazima kabisa, hakuna kusema kwamba atapata madawa ya bure, madawa ya bure yanatoka wapi? Hatuwezi tukasali misikitini na makanisani, tukamwambia , Mwenyezi Mungu, eee, tuletee kwinini, hawezi kuleta kwinini. Sasa hilo ndilo jambo moja ninalitilia mkazo katika taarifa hii kwamba kabla ya kuanza kusema tumefika kiasi gani cha elimu yenye manufaa. Lazima ujue tumeongeza uwezo ...

Read More »

Tujenge Uzalendo Kupitia Uchumi

Wiki iliyopita nchi yetu imesherehekea miaka 56 ya Uhuru wa Tanganyika (Tanzania Bara). Wakati tunapambana kupata uhuru, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyeongoza harakati hizo, alisema nchi yetu ilikuwa inapambana na maadui watatu; ujinga, maradhi na umaskini. Na alisema ili nchi ipate mafanikio inahitaji watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora. Ukipima kigezo cha siasa za kufanya uchaguzi, naamini Tanzania tunapasi. ...

Read More »

Asante Sana Waziri Mkuu, Uhifadhi Umeshinda

Desemba 6, 2017 itabaki kuwa siku muhimu katika kumbukumbu za kazi nilizopata kuzifanya. Hii ni siku ambayo Serikali, kupitia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ilitangaza ‘kuumaliza’ mgogoro wa Pori Tengefu la Loliondo. Naikumbuka siku hii, si kwa sababu ya kumalizwa kwa mgogoro, bali kwa sababu Serikali imethubutu kutenda kile ambacho Serikali mbili au tatu zilizopita zilifeli. Wala sitoikumbuka siku hii kama ...

Read More »

Mafanikio yoyote yana sababu x (1)

Wanatoka tumbo moja lakini hawafanani. Ni methali ya Tanzania. Watoto wenye wazazi walewale, walionyonya titi lile, na kusoma shule ile ile kimafanikio wanatofautiana. Kinachowatofautisha ni sababu x. Wanadarasa wakiwa na viwango tofauti vya ufaulu darasani. Inatokea aliyetangulia darasani hapati mafanikio katika maisha kuzidi aliyekuwa wa kumi. Tofauti ni sababu x. Sababu x ni siri ya mafanikio. Watu wanatoka chuo kimoja wamefundishwa ...

Read More »

Nani Wanaoratibu Biashara ya ‘Kubeti’?

Mpita Njia (MN) ni miongoni mwa wale wanaoamini kuwa utandawazi maana yake si kuachia kila kitu kijiendeshe kienyeji. Anajiuliza, mbona huko ulikozaliwa huo utandawazi kuna mambo mengi yamepigwa kufuli? Mbona huku kwetu kila jambo – lililo baya au lililo jema- linaachiwa tu? MN amefikia hatua hiyo baada ya kuona hizi nyumba zenye kuendesha michezo ya ‘kubeti’ zinavyoongezeka. Anashangaa kuona Serikali ...

Read More »

Loliondo Yametimia

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametangaza kumaliza mgogoro wa matumizi ya Pori Tengefu la Loliondo (LGCA) ambao umedumu kwa takriban miaka 26. Desemba 6, mwaka huu, Waziri Mkuu alitangaza msimamo wa Serikali kuhusu eneo hilo kupitia kikao alichokiitisha ofisini kwake Mlimwa, Manispaa ya Dodoma ili kutoa mrejesho uliofikiwa na Serikali kuhusu utatuzi wa mgogoro huo baada ya kupokea taarifa ya Kamati ...

Read More »

Ukweli Kuhusu Soko la Muhogo China

Sasa mkulima au mfanyabiashara akitaka kuuza au kununua muhogo, ni lazima aelimishwe juu ya masharti hayo ya mkataba. Mwenye dhamana ya kutoa elimu hiyo ni nani? Kwa maoni yangu ni Wizara ya Kilimo ambayo ndio imeingia mkataba na Mamlaka za China, mkataba huo uliosainiwa una kipengele kimoja kinachosema mtu au kampuni yoyote yenye nia ya kuuza muhogo kwenye soko la ...

Read More »

Bandari Kwafukuta

*Mkurugenzi wa Ulinzi asimamishwa kazi kimyakimya *Timu aliyounda Rais Magufuli yaendelea na upekuzi *Wasiwasi watanda kwa watumishi, wafanyabiashara *Mjumbe wa Bodi ataka NASACO irejeshewe udhibiti Na Waandishi Wetu Kuna kila dalili kuwa hali ya hewa imechafuka tena katika Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), baada ya Rais John Magufuli kuvamia na kubaini magari 52 yaliyotelekezwa bandarini hapo tangu mwaka ...

Read More »

Barua ya kiuchumi kwa Magufuli

Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, nakusalimu kwa salamu za heshima. Salamu hizi zinakujia kutoka kwangu mwananchi mwaminifu kwa nchi yangu ambaye nimeamua kukupa mkono wa shirika katika eneo la kuujenga uchumi. Baada ya salamu hizo ninatumia mwanya huu kukupongeza kwa kufanikiwa kupenya na hatimaye kuwa Rais, katika uchaguzi uliokuwa na ushindani mkubwa sana ...

Read More »

Soko linahitaji misuli kupambana

Nimekuwa nikipata mgogoro wa ndani kila ninapohudhuria promosheni za bidhaa mbalimbali, ninaposoma ama kutazama matangazo ya kibiashara katika vyombo mbalimbali vya habari na vile vinavyotumika kimatangazo. Kwenye nyingi ya bidhaa, promosheni ama matangazo hayo huwa ninakutana na taswira pamoja na maneno yenye mbinu za  kimasoko ambavyo vina mushkeli.  Bidhaa hizo huambatana na maneno kama, ‘Nunua bidhaa za Tanzania kukuza uchumi ...

Read More »

Biashara za ‘Kidijitali’

Hihitaji mamilioni kuzalisha mabilioni isipokuwa unahitaji wazo, taarifa, uwezo wa kuwasiliana na ujasiriamali vitakavyokuletea mabilioni. Vile vile miaka ya hivi karibuni hapa nchini Tanzania kuna vijana wamebuni mfumo wa kukata tiketi kwa kutumia simu za mikononi. Kinachofanyika ni kwamba unakata tiketi yako kwa kutumia simu yako katika basi unalolitaka. Sitashangaa hata kidogo nitakapokuja kusikia kwamba kampuni hii ya kukatisha tiketi ...

Read More »

Biashara za ‘Kidijitali’

Mwezi uliopita nilizindua kitabu changu kipya kiitwacho ‘MAFANIKIO NI HAKI YAKO’ ambacho kinauzwa kwa njia ya mtandao. Jambo kubwa nililolifanya kutokana na kitabu hiki ni kuandaa mfumo unaoendelea kumsaidia mtu anayenunua kitabu hiki kuyaweka katika vitendo yale atakayoyasoma na kujifunza kutoka katika kitabu hiki. Mtu akinunua kitabu hiki anapata wasaa wa kuunganishwa na kundi maalumu kwenye mtandao wa Whatsapp liitwalo, ...

Read More »

Nani awafute machozi wamiliki wa daladala?

Kwanza nianze kwa kuwasalimu na kuwapa hongera kwa kipindi hiki cha kampeni za Uchaguzi Mkuu. Najua mashabiki na wafuasi wa wagombea, presha zinapanda na kushuka kila siku. Nawatakia heri kwa kuwa maisha yataendelea hata baada ya Oktoba 25, sisi wa mraba huu ngoja tuendelee na kazi yetu.   Leo nitachambua kwa kina yahusuyo biashara ya daladala. Kwa wale wanaofuatilia makala ...

Read More »

Ikitokea umekufa leo, biashara zako unaziachaje? (2)

Watanzania wengi tunaendesha biashara kienyeji. Hatuna mifumo ya kibiashara, hatuna malengo ya biashara na wala hatuna mwelekeo wa kibiashara. Wengi wetu tunategemea kudra za mwenyezi Mungu kutufikisha mwakani, hatuna uhakika na tunakoenda wala hatujui tutafika lini. Tuna macho ya kuitazama leo tu, hatuna malengo ya angalau hata  muongo mmoja. Watanzania wenzetu wenye asili ya Kihindi na Kiarabu wametuzidi sana katika ...

Read More »

Ikitokea umekufa leo, biashara zako unaziachaje?

Nianze kwa habari njema. Nimeandika kitabu cha pili kiitwacho ‘Kufanikiwa ni haki yako.’ Ni kitabu ambacho kimebeba maarifa, visa vya kusisimua na mikasa kuhusu safari za maisha ya mafanikio ya watu mbalimbali waliofanikiwa duniani.  Kwa mfano, katika kitabu hiki ninakuletea kisa cha mzee mmoja alie tajiri mpaka sasa; ambae miaka ya nyuma kuna siku alikubali kulala lupango kwa kosa la ...

Read More »

Mjasiriamali na uhakika wa kesho

Mara nyingi ninapochambua masuala haya ya biashara na uchumi huwa ninakwama kupata maneno yaliyozoeleka katika Kiswahili ili kuelezea dhana fulani fulani. Hii haimaanishi kuwa Kiswahili hakina maneno hayo, la hasha! Isipokuwa kutumia maneno hayo kunaweza kuwapoteza wengi na kutoeleweka kirahisi. Leo ninataka kuongelea uhakika wa maisha ya kesho ya mjasiriamali. Moja ya maneno nitakayotumia sana ni “hatari” ambalo kwa Kiingereza ...

Read More »

Marekani inavyoipiga jeki Afrika kiuchumi

Rais wa Marekani, Barack Obama, ametembelea nchi kadhaa za Afrika wakiwamo majirani zetu, Kenya, alikohudhuria kongamano la ujasiriamali.  Ziara ya Obama imeendelea kuonesha namna Marekani inavyoweka juhudi katika kulinda maslahi ya uhusiano wa kiuchumi na kiulinzi baina yake na nchi za Afrika. Kwa miongo mingi huko nyuma, Marekani imekuwa na historia ya kuzisaidia na kushirikiana na nchi mbalimbali za Kiafrika. ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons