Uchumi

KONA YA AFYA

Vidonda vya tumbo na hatari zake (Hitimisho)

Katika sehemu ya 17 ya makala haya, Dk. Khamis Zephania, pamoja na mambo mengine, alielezea dawa za viua vijasumu, vizima asidi na upasuaji. Sasa endelea kumfuatilia zaidi katika sehemu hii ya mwisho…

Karibu watu 300,000 kote duniani hufanyiwa upasuaji kutokana na madhara yaletwayo na vidonda vya tumbo ambayo huzalisha magonjwa mengine. Vyakula: Kipengele kikubwa katika matibabu ni kula mlo sahihi na tabia nzuri katika namna ya kula vyakula.

Read More »

MISITU & MAZINGIRA

Tupande miti ili kukuza uchumi wetu (2) Urahisi wa kutumia mkaa si bei yake, bali ni kutokana upatikanaji wake (unasambazwa sehemu nyingi mijiji na wauzaji wadogo wadogo) na mtumiaji halazimiki kuweka mkaa mwingi, bali ananunua kulingana na mahitaji ya kila siku pengine kwa kutumia Sh 500 au 1,000 kwa kwa siku. Wakati akitaka kupika kwa kutumia gesi ni lazima anunue ...

Read More »

KONA YA AFYA

 

Katika toleo la 16 la makala haya, Dk. Khamis Zephania alieleza jinsi vidonda vya tumbo vinavyochunguzwa na matibabu yake. Sasa endelea…

Vidonda vya tumbo na hatari zake (17)

Dawa za viua vijasumu (antibiotics): Katika hatua kali ya ugonjwa, dawa za kemikali ni muhimu. Hata hivyo, mgonjwa anapaswa kupunguza matumizi ya dawa za kemikali, na ategemee zaidi matibabu asilia. Hii ni kwa sababu dawa nyingi za kemikali haziwezi kutibu kwenye chanzo cha mzizi wa tatizo, na mbaya zaidi huweza kuleta madhara mengi (side effects).

Read More »

marufuku na madhara yake

TFDA yataja ilivyoruhusu nchini

Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) imeendelea kupiga marufuku vipodozi vyenye viambato (ingredients) vyenye sumu inayoathiri afya ya binadamu.

Read More »

Je, wote tuwe wajasiriamali?

Kwenye anga za uchumi na biashara kumekuwa na changamoto inayojirudia kutoka kwa baadhi ya wasomaji kuhusu dhana ya ujasiriamali.

Licha ya wasomaji kuzikubali makala hizi lakini wamekuwa na walakini ikiwa inawezekana Watanzania wote tukawa wajasiriamali.  Hata mimi ninafahamu kuwa si watu wote wana ‘karama’ za kuwa wajasiriamali wa kibiashara.

Read More »

Watanzania tupande miti kukuza uchumi

Tanzania Bara ina eneo la hekta zaidi ya milioni 94.7. Wakati tunapata Uhuru Desemba 9, 1961 sehemu kubwa ya ardhi ilikuwa imefunikwa na misitu na mapori. Waingereza walioitawala Tanganyika baada ya Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia iliyoanza mwaka 1914 hadi 1918, waliweka Sera ya Misitu mwaka 1953.

Read More »

Mtoto na malezi (1)

Mtoto ni malezi. Mtoto akilelewa katika malezi mazuri atakuwa na maadili mazuri. Mwanafalsafa Anselm Stolz alipata kusema, “Ukimpa mtu samaki atamla mara moja, lakini ukimfundisha kuvua atakula samaki kila siku.”

Read More »

Mil 121/- ‘zatafunwa’ Hospitali ya Geita

  Siri ya wizi wa Sh zaidi ya milioni 121 za Hospitali ya Wilaya ya Geita imefichuliwa. Imewekwa wazi na aliyekuwa Mhasibu wa Idara ya Afya hospitalini hapo, Frank Maganga, akimtaja aliyekuwa Mganga Mkuu wa Wilaya, Dk. Omary Dihenga, kutumia wafanyabiashara kadhaa wa mjini Geita kuchota fedha hizo kinyume cha sheria.   Kupitia andiko lake kwenda kwa Chama cha Wafanyakazi ...

Read More »

Vidonda vya tumbo na hatari zake (16)

Wiki iliyopita, Dk. Khamis Zephania alieleza vyanzo na madhara ya magonjwa ya saratani ya tumbo na vidonda vya tumbo kwa mama wajawazito. Sasa mfuatilie zaidi katika sehemu hii ya 16…


 

Jinsi vidonda vya tumbo vinavyochunguzwa


Read More »

Salaam za Kagasheki kwa majangili

*Angependa wakikutwa maporini ‘wamalizwe’ huko huko

*Maelfu ya wananchi wakubali adhabu ya kifo kwa wahusika

*Muswada kuipa makali sheria kuwasilishwa Bunge lijalo

Muda ni saa 2 na dakika kadhaa asubuhi. Mbele ya Makao Makuu ya Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA) kuna mamia ya watu wa rika, rangi na jinsi zote. Wana mabango yenye ujumbe maalumu.

Read More »

Kupenda kuhurumiwa hakutusaidii kibiashara

Nimekuwa nikipata mgogoro wa ndani kila ninapohudhuria promosheni za bidhaa mbalimbali, ninaposoma ama kutazama matangazo ya kibiashara katika vyombo mbalimbali vya habari na vile vinavyotumika kimatangazo.

Read More »

Mwarobaini wa uhaba wa maji Kwembe wapatikana

 

Moja ya matatizo yanayowakabili wakazi wa Jiji la Dar es Salaam ni ukosefu wa maji. Jitihada mbalimbali zimekuwa zikifanywa na Serikali, lakini bado tatizo hili limeonekana kuwa kubwa.

 

Read More »

Mwarobaini wa uhaba wa maji Kwembe wapatikana

Moja ya matatizo yanayowakabili wakazi wa Jiji la Dar es Salaam ni ukosefu wa maji. Jitihada mbalimbali zimekuwa zikifanywa na Serikali, lakini bado tatizo hili limeonekana kuwa kubwa.

Read More »

Vidonda vya tumbo na hatari zake (15)

Katika sehemu ya 14 ya mfululizo wa makala haya, Dk. Khamis Ibrahim Zephania alieleza sababu za kutoka damu na saratani ya tumbo. Sasa endelea kumfuatilia zaidi…

 

Read More »

JE, KESHO YA MJASIRIAMALI INATABIRIKA?

 

Mara nyingi ninapochambua masuala haya ya Biashara na Uchumi huwa ninakwama kupata maneno yaliyozoeleka katika Kiswahili ili kuelezea dhana fulani fulani. Hii haimaanishi kuwa Kiswahili hakina maneno hayo, la hasha! Isipokuwa kutumia maneno hayo kunaweza kuwapoteza wengi na kutoeleweka kirahisi.

Read More »

Kumbe ndio maana trafiki wanachukiwa

 

Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikisikia na kuona jinsi wananchi wengi katika maeneo mbalimbali ya nchi hii, wanavyowalalamikia askari polisi wa kitengo cha usalama barabarani (trafiki). Siyo siri ndugu zetu hao wanachukiwa na wananchi wengi.

Read More »

Kesi kubwa ya ‘unga’ yatajwa Dar

*Ni ya Mama Lela aliyetajwa na Rais Obama

Kesi ya mtuhumiwa mkubwa wa dawa za kulevya duniani aliyekamatwa eneo la Mbezi jijini Dar es Salaam imetajwa wiki hii.

JAMHURI ilipata taarifa kutoka Mahakama Kuu kuwa kesi hii, inahusisha watuhumiwa wanane akiwamo Mtanzania Mwanaidi R. Mfundo. Pia nchini Kenya na Marekani anafahamika kwa jina la Naima Mohamed Nyakiniywa au Naima Nyakinywa, maarufu Mama Lela huko Mbezi, jijini Dar es Salaam akiwa pamoja na Wakenya saba, imetajwa jana Mahakama Kuu.

Read More »

Sheria, rushwa vinakwaza udhibiti dawa za kulevya

* DCC yataka zitangazwe kuwa adui namba moja * Serikali yataka sheria mpya, mahakama maalum Mapambano dhidi ya dawa za kulevya bado yana safari ndefu hapa Tanzania kutokana na kusongwa na vikwazo lukuki vikiwamo vya sheria dhaifu, ukosefu wa sera ya Taifa ya udhibiti na kuendekezwa kwa vitendo vya rushwa katika vyombo vya dola.     Serikali ya Jamhuri ya ...

Read More »

Ufisadi Mamlaka ya Hifadhi Ngorongoro unatisha

Pamoja na malengo mengine ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), lengo mojawapo ni kuboresha miundombinu ya utalii ili kuboresha huduma za kitalii (to provide high quality tourism services) kwa kutengeneza barabara kwenda kwenye vivutio kama Nasera Rock, Olkarian Gorge na aina mbalimbali za miundombinu ya utalii na si kufanya kazi za Bodi ya Utalii Tanzania (TTB).

Read More »

Madudu ya Msekwa yaanikwa Ngorongoro

*Aliunda Kamati ikawa ndiyo Menejimenti
*Murunya naye ahusishwa kufaidi mabilioni
*Wameuza hadi mapitio ya wanyamapori
*Faru wengine watatu hawajulikani waliko

Timu ya ukaguzi iliyoundwa kukagua ‘madudu’ katika Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), imeanika ufisadi wa kutisha, JAMHURI inathibitisha. Spika wa zamani, Pius Msekwa, ni miongoni mwa watu mashuhuri ambao ripoti hiyo imependekeza wafikishwe mbele ya vyombo vya sheria kujibu tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka. Msekwa ndiye aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka hiyo inayosifika kwa ufisadi.

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons