Category: Makala
Ngeleja; Kichwa kilichojificha nyuma ya tambo za Kikwete
“Natamani kuwa Rais wa mwisho wa Tanzania kuongoza nchi ambayo ni maskini…Nimeongoza nchi maskini, lakini nataka mrithi wangu kuongoza nchi yenye ustawi na utajiri” yalikuwa ni maneno ya Rais Jakaya Kikwete aliyoyatoa Agosti 5, 2014 alipozungumza kwenye Kituo cha Kimataifa cha Maendeleo mjini Washington, D.C., Marekani.
Kila mtu ni mjasiriamali
Watu wengi huwa wananiuliza swali hili mara kwa mara, “Je, kila mtu ni lazima awe mjasiriamali?”
Nimekuwa nikiwajibu na leo ninataka kulijibu kwa namna nyingine na kwa upana. Ili kulijibu swali hili ninaomba nitumie Biblia kupata baadhi za rejea.
Uchafu waharibu mandhari ya mji wa Songea
Wananchi Manispaa ya Songea wameelezea wasiwasi wao kuhusu kukumbwa na milipuko wa magonjwa mbalimbali, kutokana na kukidhiri kwa uchafu katika maeneo mbalimbali yakiwamo soko kuu la mji buo.
Wakizungumza na JAMHURI kwa nyakati tofauti, wamesema miundombinu ya maji taka Soko Kuu la Songea ni mibovu. Mitaro ya mji huo imefurika na kutiririsha maji hovyo yanayosambaa kwenye maeneo ya wauza nyanya, vitunguu, samaki na dagaa.
Hivi kati ya Spika Sitta na Kubenea nani ‘Court Jester’?
Akiwa ameketi kwenye kiti chake cha enzi Jumanne iliyopita, Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba (BMK), Samuel John Sitta, alimshambulia Mkurugenzi Mtendaji wa HaliHalisi Publishers, Saed Kubenea, kwa kitendo chake cha kufungua shauri mahakamani kupinga Bunge hilo.
Malengo ya Kazi (1)
Hotuba ya Rais Mwalimu Julius Nyerere kwenye Sherehe ya Kufungua Kiwanda cha Nguo Ubungo Dar es Salaam Julai 6, 1968
Tumekubali kuwa punda wa Wakenya
- Bei ya mafuta yapanda, EWURA yatoa angalizo kwa wafanyabiashara
- Brigedia Jenerali Msakulo azindua mabweni ya shule ya Innovate Mlandizi
- Taasisi za michezo zatakiwa kutumia miliki ubunifu kudhibiti uharamia
- Elimu ya udhibiti yawafikia wenye ulemavu Tabora
- Nyongo: Kiwanda cha Vilipuzi Kisrawe kupunguza uagizaji nje
Habari mpya
- Bei ya mafuta yapanda, EWURA yatoa angalizo kwa wafanyabiashara
- Brigedia Jenerali Msakulo azindua mabweni ya shule ya Innovate Mlandizi
- Taasisi za michezo zatakiwa kutumia miliki ubunifu kudhibiti uharamia
- Elimu ya udhibiti yawafikia wenye ulemavu Tabora
- Nyongo: Kiwanda cha Vilipuzi Kisrawe kupunguza uagizaji nje
- Benki ya NMB yapiga hodi London
- Waziri Mkuu kufungua Jukwaa la Uwekezaji Tanzania nchini Uingereza
- Tuwaepushe wanafunzi dhidi ya ukatili
- Makamu wa Rais afungua mkutano wa Chama cha Wasimamizi wa kodi wa Jumuiya ya Madola
- TTCL Yawataka wafanyakazi kwenda “The Extra Mile” kwa wateja
- Waziri Homera azindua mkataba wa huduma kwa wateja uliohuishwa na huduma nyingine kwa wateja wa TANESCO
- Wiki ya Huduma kwa Wateja 2026, Shirika la Dawa Asilia na Ulinzi wa Mazingira latoa ujumbe maalum
- TPA kuboresha huduma kwa wateja kukabiliana na ushindani soko la kimataifa
- Spika: Dunia inapaswa kushirikiana, hakuna upande unaoweza kufanikiwa bila mwingine
- Spika Zungu achaguliwa Rais Mkutano wa 153 wa IPU Arusha
Copyright 2025