Archives for Makala - Page 402

Nyerere: Vyombo vya umma

“Vyombo vya umma vitumiwe kuhudumia wananchi. Wote wanaoviharibu ama kwa bahati mbaya ama kwa makusudi, lazima wajisahihishe; la sivyo wanyang’anywe madaraka.” Ni maneno ya mwasisi na Baba wa Taifa letu, Mwalimu Julius Nyerere, alipowaasa viongozi kutumia vizuri madaraka yao kwa…
Soma zaidi...

Utaifa hauna dini (1)

  Wakoloni, hasa Waingereza, walikuwa na ubaguzi wa hali ya juu. Miongoni mwa raia wao walikuwapo walioitwa raia halisi (British nationals), na raia watawaliwa (British subjects). Kabla ya Uhuru wetu, sisi Watanganyika tulipewa pasipoti za Kiingereza zenye maneno British Subject.…
Soma zaidi...
Show Buttons
Hide Buttons