Hujuma zatawala UDART, wakamatana

Na Mwandishi Wetu

Polisi wanawashikilia wafanyakazi 22 wa Kampuni ya UDA Rapid T
inayomilikiwa na Mwenyekiti wa Simon Group, Simon Kisena, JAMH
Wafanyakazi hao wakiwamo wasaidizi wa karibu wa Kisena wanata
mbadala wa kuuza tiketi za mabasi ya mwendokasi unaoipotezea m
UDART.
“Wengi wameanza kukamatwa kama wiki mbili zilizopita. Uongozi w
ukaguzi wa ghafla katika Kituo cha Kimara na kubaini uwepo wa tik
zilipoingizwa kwenye mashine ikashindwa kuzitambua,” amesema m
JAMHURI limefahamishwa kuwa Kituo cha Kimara ndicho kilianza k
mapato yalishuka kutoka wastani wa Sh milioni 32 kwa siku hadi 18
milioni 14 mfululizo kwa miezi miwili wakati hakuna mvua inayonyes
ulishitua kila mtu. Hapo ndipo uchunguzi ulianza,” kilisema chanzo
Septemba 12, mwaka huu walikwenda katika Kituo cha Kimara kufa
walipofika hawakubaini lolote, lakini: “Baada ya kukuta hesabu zote
zilizouzwa, kila mtu akawa anajiuliza kuna shida gani? Baadaye mw
akaingia na bahasha ofisi za kukatia tiketi.
“Mwanafunzi huyo akasema ameokota hiyo bahasha nje ikiwa na ti
kukatia tiketi, akaona ni za UDA ikabidi azikabidhi. Msimamizi wa ki
aifikishe kwa bosi wake. Hapo ndipo filamu nzima ilianza kuwa waz
“Kwenda kuangalia hata wasaidizi wa Mwenyekiti [Simon Kisena] w
huu wa hujuma kubwa kwa kampuni. Kuwakamata hao wasaidizi w
watoto wa wasaidizi wake ndio vinara wa kuchapisha tiketi hewa. W
kuchapishia.
“Katika mshangao huo, uongozi ukawa unaamini kuwa haiwezekan
wa kununua mashine za aina hiyo, na ukawa unaamini watu hao wa
washindani wa Kisena kibiashara kuharibu mfumo na kuonyesha ku
hii ya UDART kusafirisha watu kwa mwendokasi Dar es Salaam. W

na kupewa mtu mwingine. Hii ni hatari,” kilisema chanzo chetu.
Taarifa za ndani zinaonyesha kuwa kati ya Julai na Septemba, mwa
zilizoibwa ni zaidi ya Sh bilioni 1, kupitia utaratibu huo wa watumish
waliokamatwa na watu wengine ofisini humo kuuza tiketi bandia.
Msemaji wa UDART, Deus Bugaywa, amelithibitishia JAMHURI kuk
wafanyakazi hao na akaongeza: “Tulianza kuona mapato yanashuk
uchunguzi wa ndani, tukapata suspects (watuhumiwa) wetu, tukarip
hapo, polisi wakaendelea na uchunguzi.”
Amesema yamekuwapo matuko mengi yenye sura ya hujuma, kwa
madereva wanaohujumu magari na hivi karibuni wamefukuza made
waliokuwa wanafundishwa na wabaya wa UDART jinsi ya kuharibu
JAMHURI limejiridhisha kuwa wafanyakazi hao wamekamatwa, ila
kwa sasa na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam
hakupatikana kulizungumzia suala hili.

Ends…