Muda wa usajili Vyombo vya Habari Mtandaoni waongezwa

Mamlaka ya kudhibiti Mawasiliano nchini, TCRA imeongeza muda wa usijili kwa wamiliki wa vyombo vya habari mtandaoni {Blog, Radio au TV} ambao bado hawajapata leseni ya utoaji huduma hiyo kuwa tayari wawe wamekamilisha usajili huo mpaka ifikiapo June, 30, 2018.

Katika Taarifa iliyotolewa na TCRA imesema ifikapo tarehe hiyo wale ambao bado watakuwa hawana leseni watatakiwa kuondoa hewani mitandao yao.

Ameongezea kuwa hatua za kisheria zitachukuliwa kwa atakayeenda kinyume na agizo hilo.

899 Total Views 3 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!

Comments

comments

Show Buttons
Hide Buttons