JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Wema Sepetu: Ipo haja ya wasanii kurudi shule, wampa tano Rais Samia

Mwigizaji na Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu amesema kuna haja ya wasanii kurudi shuleni, ili kuongeza ujuzi na maarifa yatakayowasaidia kuboresha kazi zao za filamu. Pia amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufikiria kufanya mabadiliko makubwa katika sekta hiyo na…

WHO: Homa ya nyani bado ni tishio la kiafya ulimwenguni

Shirika la Afya ulimwenguni, WHO limetahadharisha kwamba maradhi ya homa ya nyani bado ni kitisho cha kiafya kote ulimwenguni bila kujali mipaka. huku likielezea wasiwasi wake kwa kuangazia hasa mlipuko wa aina mpya na mbaya zaidi ya virusi vya homa…

Rais Ruto avunja Baraza lake la mawaziri

Rais wa Kenya William Ruto, amelivunja baraza lake la mawaziri na kumfuta kazi mwanasheria mkuu wa serikali, ikiwa ni sehemu ya hatua anazochukua kufuatia maandamano makubwa ya vijana wa kizazi cha Gen Z. Akihutubia taifa kupitia televisheni nje ya Ikulu…

Tume ya Madini kuboresha vifungashio vya madini ili kudhibiti utoroshaji

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam TUME ya Madini imesema ipo kwenye mchakato wa kuboresha vifungashio vya madini katika masoko ya madini nchi nzima ikiwa ni mkakati wa kuendelea kudhibiti utoroshaji wa madini. Hayo yamesemwa na Mteknolojia Maabara kutoka…

NIT yawataka vijana kuchangamkia fursa masomo ya kimkakati

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chuo cha Taifa Usafirishaji (NIT), kimetoa wito kwa vijana waliohitimu kidato cha nne kuchangamkia fursa ya kuomba kujiunga kozi za kimkakati za Chuo ambazo katika mwaka wa masomo wa 2024/2025 zimepata upendeleo wa…