Hiari na dhima havitangamani moyoni 

Moyo ni kiungo kimojawapo cha mwili wa binadamu. Vipo viungo vingi mwilini vikiwamo figo, ini, pafu na vinginevyo. Moyo wa binadamu daima hufikwa na madhila ya raha na tabu katika muda wote wa uhai. Shida, simanzi, raha na misukosuko ni mambo yanayopita ndani ya moyo wa binadamu. Moyo wa binadamu hupata mitihani aina mbalimbali, kadhalika…

Read More

Yah: Hizi Tv Online zina maudhui gani?

Kwanza, nikiri wazi kwamba sizungumzii Tv Online zote, la hasha! Zipo ambazo unatamani kuzifuatilia kwa jambo lolote makini na zipo ambazo zinajibainisha kuwa ni za watu makini, lakini huo ujinga ambao unaupata kila unapojiunga nao, kwa kweli ninashauri tuangalie upya jinsi ambavyo wamepata vibali vya kurusha hayo matangazo yao. Leo nina miaka dahari kidogo, kwa…

Read More

Kupotea nyaraka inayohitajika mahakamani kama ushahidi

Inaweza kuwa nyaraka muhimu kama hati ya nyumba, mkataba wa mauziano au mkataba mwingine wowote, wosia, kadi ya gari au ya mashine yoyote, hati ya kusimamia mirathi, cheti cha ndoa au vyeti vinginevyo na nyaraka nyingine mbalimbali. Nyaraka hii inaweza kuwa inatakiwa sehemu muhimu kama mahakamani ili kuthibitisha shauri au kesi yako. Na inaweza ikawa…

Read More

Ya Wema Sepetu yanaibua maswali

Uamuzi wa Serikali, kupitia Bodi ya Filamu, kumfungia Wema Sepetu kujihusisha na masuala ya filamu kwa muda usiyojulikana kutokana na kuvuja kwa video yake ya ngono ni suala linalozua maswali. Kwanza, nakubaliana na Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA), Godfrey Mngereza, anayeshuku unafiki wa Wema kuomba msamaha kwa kuvuja kwa video hiyo kwa…

Read More

Pogba kurejea Turin?

Klabu ya ‘Kibibi Kizee cha Turin’ Juventus imo kwenye hatua za mwisho kumrudisha kiungo wake wa zamani, Paul Pogba. Mchezaji huyo kwa sasa anacheza katika Klabu ya Manchester United. Mipango ya mabingwa hao wa Italia inaanza Januari mwakani. Pogba amekuwa kwenye mkakati wa kuondoka Manchester United kutokana na mtifuano uliopo kati yake na Kocha wake,…

Read More

Mo awaumbua watekaji

Tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara maarufu nchini na tajiri kijana barani Afrika, Mohamed Dewji, maarufu kama Mo, limewaumbua watekaji, haijapata kutokea. Wakati wakidhani Mo hakuwa na mlinzi, na baada ya kuvua saa na kuacha simu katika eneo la Colosseum Hotel, Dar walipomtekea, hivyo wakidhani hana mawasiliano yoyote, kumbe alikuwa na kifaa maalumu kilichomo mwilini mwake…

Read More