NYERERE 349
Sehemu ya 7 Kama shule iko kijijini (na katika shule mpya zitakazojengwa siku zijazo) itawezekana kwamba shamba la shule liwe karibu karibu na shuleyenyewe. Lakini katika miji na katika shule za zamani zilizo katika vijiji vyetu vyenye watu wengi, huendaisiwezekane kuwa hivyo. Katika hali hiyo shule inaweza kutilia mkazo kazi zingine zenye kuleta uchumi, au…