JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Tag: mwalimu nyerere

NUKUU SEHEMU YA 329

Nyerere – Siasa za ndani “…Mtu yeyote anayetuvurugia umoja wetu si mwenzetu. Hata angevaa ngozi ya kondoo huyu ni mbwa mwitu hatufai hata kidogo.” Nukuu hii ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ilichukuliwa katika ukurasa wa 111 katika kitabu cha Nukuu…

Uzalendo si Suala la Hiari

Desemba 8, mwaka huu, Taifa letu lilizindua kampeni ya Uzalendo hapa nchini. Uzinduzi ule ulifanyika Dodoma katika ukumbi wa Jakaya Kikwete na ulifanywa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa niaba ya Rais John Magufuli. Hili ni jambo zuri…

MWALIMU NYERERE: MAENDELEO NI KAZI

Hotuba ya Rais wa Chama, Mwalimu Julius K. Nyerere, Kwenye Mkutano Mkuu wa TANU wa 16. Waheshimiwa sasa ningependa kuufungua Mkutano wetu rasmi. Nasema katika ufunguzi huu kazi yangu kwa leo itakuwa, asubuhi hii, ni kuwasilisha kwenu Taarifa ya mambo…

Nyerere: Huwezi Kuwadanganya Wote

“Unaweza kuwadanganya watu wote kwa muda fulani na baadhi ya watu wakati wote, ila hauwezi kuwadanganya watu wote kwa wakati wote.” Haya ni maneno yaliyojaa hekima yaliyotolewa na Baba wa Taifa na Rais wa Awamu ya Kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius…

Maandiko ya Mwalimu Sehemu Maendeleo ni Kazi

Lakini kulipa ni jambo la lazima kabisa, hakuna kusema kwamba atapata madawa ya bure, madawa ya bure yanatoka wapi? Hatuwezi tukasali misikitini na makanisani, tukamwambia , Mwenyezi Mungu, eee, tuletee kwinini, hawezi kuleta kwinini. Sasa hilo ndilo jambo moja ninalitilia…