JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: October 2015

Naiona Serikali ya Mseto

Wale wanaopenda kutazama runinga wanaona kwa macho yao namna siasa za Tanzania zinavyobadilika kwa kasi kila siku. Mwishoni mwa wiki walionekana wananchi kwenye maeneo kadhaa katika vijiji vilivyopo mikoa ya Arusha na Tanga wakichoma na wengine wakichana kadi zao za…

Yah: Mimi siasa basi, naomba kazi mpya

Ukisikia mtu mwenye mkosi katika maisha ya siasa basi ni mimi Mzee Zuzu, ninayeishi huku Kipatimo. Naishi maisha magumu sana tangu nchi hii ilipopata Uhuru hadi imekomaa kwa Uhuru wake. Nimepigana usiku na mchana tangu nikiwa barobaro hadi naingia utu uzima,…

Mabadiliko ni mapinduzi, ni mageuzi

Binadamu awe mtu mmoja mmoja, kundi la watu au jamii fulani  wanapenda mabadiliko lakini wanahofia mabadiliko yenyewe yatakuwaje. Muasisi au waasisi wa mabadiliko huwa na wasiwasi kuhusu hayo wayatakayo kama yatafaulu au laa.Kwa sababu hawana uhakika na matokeo yake. Watu…

Umuhimu wa wagombea huru sasa umedhihiri

Kama unahitajika ushahidi kuwa upo umuhimu wa kuruhusiwa kwa wagombea huru ndani ya Katiba ya Tanzania, basi umejitokeza sasa baada ya matukio ya hivi karibuni yaliyomo ndani ya siasa za Tanzania. Tukio lililohitimisha ukweli huo ushahidi ni kuhama kwa Waziri…

Mjasiriamali na uhakika wa kesho

Mara nyingi ninapochambua masuala haya ya biashara na uchumi huwa ninakwama kupata maneno yaliyozoeleka katika Kiswahili ili kuelezea dhana fulani fulani. Hii haimaanishi kuwa Kiswahili hakina maneno hayo, la hasha! Isipokuwa kutumia maneno hayo kunaweza kuwapoteza wengi na kutoeleweka kirahisi….

Arsenal, Azam zimeweza, sasa zamu ya Taifa Stars

Jumapili Agosti 3, mwaka huu, ilikuwa ni siku ya kuvunja rekodi na pengine kumaliza ubishi uliodumu kwa muda mrefu. Timu ya soka ya Azam maarufu kama Wanalambalamba walibeba Kombe la Kagame bila kupoteza mchezo.  Kadhalika, bila kuruhusu bao hata moja…