Month: October 2015
Kama mwajiri amekuonea, chukua hatua haraka sana
Wapo wafanyakazi wengi wanaosumbuliwa na migogoro ya kikazi maofisini kwao, lakini hawajui cha kufanya. Wengine hufanyiwa mambo ya ajabu makazini yumkini wakashindwa kuchukua hatua yoyote kutokana na kutojua pa kuanzia. Na hizo ni ajira rasmi tusiongelee hizo zisizo rasmi. Tusiongelee…
Martial anapoonyesha ushujaa
Kama mzaha Septemba 12, mwaka huu Luis van Gaal, alifanya mabadiliko katika mchezo wa Ligi Kuu England, ambako katika dakika ya 65 alimtoa Juan Mata na nafasi yake kuchukuliwa na Anthony Martial. Kijana huyo, usajili mpya’ aliyezaliwa Desemba 12, 1995…
Lowassa abadili gia
Mgombea urais kupitia Chama Cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) anayewakilisha vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Edward Lowassa, sasa ameamua kutumia helikopta tano katika kampeni zake. Uamuzi huo unalenga kuimarisha kampeni zake ikiwa ni takribani mwezi mmoja kabla…
SAMIA: Tutachapa kazi kama mchwa
Kama kuna mambo yatakayobaki kwenye historia nchi baada ya uongozi wa Rais Jakaya Kikwete, ni kuwapa nafasi wanawake katika vyombo vya uamuzi. Mbali ya kuteua wakuu wengi wa wilaya, mikoa, majaji ni Rais Kikwete aliyeonekana kuwa na kiu akitaka moja…
M4C ya Magufuli, Lowassa na Sauli!
Kipindi hiki ni cha kampeni. Nafuatilia aina ya ujumbe unaotumwa kwenye simu za mikononi, mijadala inayoendelea, sera zinazotamkwa na wagombea kutoka kwenye ilani zao kauli mbiu (slogan) za wagombea katika kampeni, mijadala inayoendelea kwenye vijiwe na mengine mengi. Kama mwandishi…
Heko Jaji Lubuva
Jumamosi ya Agosti 29, mwaka huu Gazeti la JAMHURI lilifanya mahojiano na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu wa Mahakama ya Rufaa, Damian Lubuva aliyezungumzia mambo mbalimbali likiwamo la namna ya kuhesabu kura. Mahojiano hayo yalizaa habari ndefu…