Month: August 2018
Emmanuel Ramazani Shadari ndiye atakayemrithi rais Joseph Kabila DR Congo
Marekani imepanga kuweka vikwazo vipya kwa Urusi ikiwa ni kujibu kitendo cha shambulizi la sumu la afisa wa zamani wa usalama wa Urusi Sergei Skripal na mtoto wake wa kike nchini Uingereza. Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa…
Mwanasiasa wa Zimbabwe Tendai Biti anyimwa hifadhi Zambia
Mwanasiasa wa cheo cha juu kwenye muungano wa upinzani nchini Zimbabwe MDC Tendai Biti amenyimwa hifadhi kwenye taifa jirani la Zambia. Polisi wa Zimbabwe wanamlaumu Bw Biti kwa kuchochea ghasia kufuatia uchaguzi wa mwezi uliopita. Waziri wa mashauri ya nchi…
Serikali Yaondoa zuio la Kuuza Mazao Nje ya Nchi
Serikali imeondoa zuio la kuuza mazao nje ya nchi ili kutoa fursa soko na mapato kwa wakulima. Hata hivyo, wanaotaka kuuza mazao nje ya nchi watalazimika kufuata sheria, kanuni na taratibu zilizopo. Uamuzi huo umetangazwa leo Agosti 8 na Rais…
Tanzia: King Majuto Afariki Dunia
Muigizaji Mkongwe wa sanaa za vichekesho, Amri Athuman maarufu kama King Majuto amefariki dunia jioni ya leo katika hospitali ya taifa ya Muhimbili alipokuwa anapatiwa matibabu. Tunatoa pole kwa familia, ndugu jamaa na marafiki pamoja na wadau wa filamu nchini….
Yanga Kucheza na Timu ya Mchangni leo
Baada ya siku takribani tano kupita tangu kikosi cha Yanga kiweke kambi mjini Morogoro, imeelezwa Kocha Mkuu, Mwinyi Zahera ameomba mechi moja kukipima kikosi chake. Taarifa kutoka Morogoro zinasema Zahera ameomba apatiwe timu moja ambayo haishiriki Ligi Kuu Bara ili…