JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: September 2018

Mechi 8 Mfululizo Yanga kucheza ndani ya Jiji la Dar es Salaam

Ratiba ya mechi 11 za Yanga zijazo za Ligi Kuu Tanzania Bara. Ratiba hii inaonesha Yanga watakuwa na jumla ya mechi 7 nyumbani na 4 ugenini. Yanga SC vs Stand United Yanga SC vs Coastal Union Yanga SC vs Singida…

Tanzia: CCM Yapata Pigo, Guninita Afariki Dunia

ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM (UVCCM), Taifa na baadaye akawa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, John Guninita amefariki dunia leo Alhamisi, Septemba 13, 2018 alfajiri katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu….

Makonda azua balaa bandarini

Na Mwandishi Wetu Makontena aliyoingiza nchini Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, yameleta ‘shida sana’ bandarini na sasa mfumo wa kutoa na kuingiza makontena kwenda kwenye ICD utabadilishwa, JAMHURI limebaini. “Kwa kweli hapa tulikuwa tunaangalia bill of…

Bemba abeza uchaguzi DRC

Aliyekuwa mgombea urais nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Jean- Pierre Bemba, ameubeza uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Desemba 23, mwaka huu kwa kuufananisha na maigizo yaliyopangwa kutimiza matakwa ya wachache. Akizungumza na wanahabari mara baada ya jina lake kuwa…