Kucheleweshwa mbolea kulivyoathiri mazao
Wakati Rais John Magufuli akisisitiza mara kadhaa kwamba serikali haitatoa chakula cha msaada kwa watakaokabiliwa na njaa, mikoa ya Nyanda za Juu Kusini mazao yameharibika kutokana na mbolea za kukuzia kutofika kwa wakati kwa wakulima. Rais Magufuli aliendelea kusisitiza kuwa serikali haitatoa chakula cha msaada kwa watakaopatwa na njaa ilhali wanaweza kuzalisha chakula katika maeneo yao….