JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: October 2018

Idadi ya wazee kuongezeka

ARUSHA NA MWANDISHI WETU Idadi ya wazee nchini Tanzania inakadiriwa kuwa asilimia 11 ya watu wote ifikapo mwaka 2050. Hali hiyo inasababishwa na ongezeko la idadi ya watu na kuboreshwa kwa huduma za afya nchini. Mratibu wa Huduma za Afya…

Mfugale Flyover ni ukombozi

Na Deodatus Balile Kwa muda mrefu ninapokuwa safarini huangalia jambo la kurejea nalo nyumbani. Nimesafiri nchi kadhaa duniani, hivyo nashukuru Mungu kuwa kusafiri huko kumeniongezea uelewa. Katika nchi nyingi, iwe zilizoendelea au zinazoendelea, zimeweka mtazamo na msisitizo mpya katika miundombinu….

Hujuma zatawala UDART, wakamatana

Na Mwandishi Wetu Polisi wanawashikilia wafanyakazi 22 wa Kampuni ya UDA Rapid T inayomilikiwa na Mwenyekiti wa Simon Group, Simon Kisena, JAMH Wafanyakazi hao wakiwamo wasaidizi wa karibu wa Kisena wanata mbadala wa kuuza tiketi za mabasi ya mwendokasi unaoipotezea…

Wizi wa kutisha

>>Bima feki za magari zatamalaki kila kona Dar >>Mtandao wajipenyeza Bandari, TRA, SUMATRA >>Yanayopata ajali, kuua wananchi yatelekezwa >>Kamanda wa Polisi aeleza mchongo wote ulivyo   DAR ES SALAAM NA MANYERERE JACKTON Mtandao wa utapeli unaowahusisha wafanyabiashara na watendaji wakuu…

MWANZA NA MWANDISHI WETU   Wanafunzi 12 wa Sekondari ya Igokelo, Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, wamegundulika kuwa na ujauzito mwaka huu, hivyo kulazimika kuwa kando na masomo yao. Mimba hizo zimewalenga zaidi wanaosoma kidato cha kwanza, cha pili, tatu…

‘Mwizi’ wa magari Moshi apelekwa Kenya

Na Charles Ndagulla, Moshi Mfanyabiashara Bosco Kyara na mwenzake Gabriel Mombuli, wanaotuhumiwa kujihusisha na mtandao wa wizi wa magari katika nchi za Kenya na Tanzania wamesafirishwa kwenda nchini Kenya kujibu mashtaka ya wizi wa gari. Kyara ni mkazi wa Makuyuni katika…