Month: October 2018
Mfugale Flyover ni ukombozi
Na Deodatus Balile Kwa muda mrefu ninapokuwa safarini huangalia jambo la kurejea nalo nyumbani. Nimesafiri nchi kadhaa duniani, hivyo nashukuru Mungu kuwa kusafiri huko kumeniongezea uelewa. Katika nchi nyingi, iwe zilizoendelea au zinazoendelea, zimeweka mtazamo na msisitizo mpya katika miundombinu….
Hujuma zatawala UDART, wakamatana
Na Mwandishi Wetu Polisi wanawashikilia wafanyakazi 22 wa Kampuni ya UDA Rapid Transit (UDART) inayomilikiwa na Mwenyekiti wa Simon Group, Simon Kisena, JAMHURI limebaini. Wafanyakazi hao wakiwamo wasaidizi wa karibu wa Kisena wanatajwa kuweka mfumo mbadala wa kuuza tiketi za…
JPM amfuta machozi Mfugale
Ifuatayo ni sehemu ya hotuba ya Rais John Magufuli wakati wa uzinduzi wa Mfugale Flyover, Tazara jijini Dar es Salaam uliofanyika Septemba 27, 2018. Pamoja na mambo mengine, Rais Magufuli alieleza kwanini ametaka daraja hilo lipewe jina la Mtendaji Mkuu…
Kwako Waziri wa Mambo ya Ndani
Mheshimiwa Kangi Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, sisi askari wastaafu wa Jeshi la Polisi tunakupongeza kwa kazi nzuri unayoifanya ingawa kuna changamoto za hapa na pale. Tunakutia moyo na tunaomba Mungu akuzidishie hekima katika utendaji wako. Ndugu…
Korosho bado ni ‘umiza kichwa’! (3)
Wakati wakulima wa korosho wanaanza kufaidi – (kwa Kimwela ‘kupoka’) neema za korosho, mara mwaka ule wa 1973 serikali ikavunja ile bodi ya mazao, lakini ikaunda mamlaka maalumu kwa zao letu la korosho. Mamlaka hiyo ilijulikana kama CATA (Cashew Authority…
Jamani, walimu wanateseka!
Mwaka jana niliwaalika baadhi ya walimu wangu wapendwa walionifundisha shule ya msingi. Miongoni mwao alikuwamo aliyenifundisha darasa la kwanza. Sina maneno mazuri ya kueleza furaha niliyokuwa nayo, na zaidi ya yote, waliyokuwa nayo walimu wangu. Pamoja nao, niliwaita baadhi ya…