Miundombinu, umeme uko njia sahihi

Leo nimeamua kusitisha makala ya Raila Odinga na urais wa Kenya ili nami kidogo nishiriki kujadili na kuichambua miaka mitatu ya Rais John Magufuli. Tangu Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais Magufuli iingie madarakani, yametokea mambo mazuri kadhaa. Binafsi nitajikita katika machache, ambayo yote yanaangukia katika ujenzi wa miundombinu. Naanza na umeme. Umeme…

Read More

Sababu zinazochangia tumbo kujaa

Ni hali ambayo mara nyingi mtu huhisi tumbo lake limejaa wakati wote. Kila mmoja amewahi kupata hali hii mara kadhaa kwa nyakati tofauti. Japo ni hali ambayo kwa kawaida hutokana na ulaji kupita kiasi, lakini kuna baadhi pia hawana tabia ya kula kupita kiasi lakini bado wanakutana na hali hii ya kuhisi matumbo yao yamejaa…

Read More

Bravo: Rais Magufuli (1)

Alhamis, Novemba mosi, 2018 inastahili kuwa siku ya kukumbukwa kutokana na lile tukio la Rais John Magufuli kushiriki kikamilifu mdahalo muhimu pale Chuo Kikuu cha Dar es salaam (Mlimani), katika ukumbi wa Nkrumah. Nafikiri, mkuu wa nchi alijisikia yuko nyumbani kabisa, maana alitulia tulii na kuwasikiliza wasomi, maprofesa na watu wengine mashuhuri wakitoa “materials” zao…

Read More

Ndugu Rais tuonyeshe njia ya kwenda Canaan

Ndugu Rais, imeandikwa; wacha tukuchezee Bwana kwa matendo yako makuu. Wacha tukutukuze Bwana kwa ukuu wako! Mbingu na nchi zinatangaza ukuu wako Bwana, milima nayo yapendeza yamtukuza Yeye. Alipo Wewe Bwana utukufu unashuka! Canaan mji ule! Mji wa divai iliyo njema. Alitutahadharisha mapema kiongozi wetu kuwa mtakapofika Canaan mtakaribishwa kwa divai aina kwa aina, lakini…

Read More

Maisha bila maadui hayana maana (3)

Mhubiri wa Injili, Israel Ayivor, alipata kusema kwamba yule aliyekusaidia kuzungumza mambo mabaya kuhusu mwenzako ndiye atakayemsaidia mtu mwingine kuzungumza uovu juu yako. Wema ni akiba. Tenda wema uende zako, usisubiri malipo. Kumbuka kwamba watu uliowatendea mema wanaweza kukugeuka lakini Mwenyezi Mungu hawezi kukugeuka. Mtu aliyekuwa sababu ya furaha yako anaweza kuwa sababu ya majonzi…

Read More

MAISHA NI MTIHANI (5)

Umri wa kati ni mtihani. Huu ni umri kati ya miaka 35 hadi 59. Ni umri kati ya ujana na uzee. Ni umri ambao mtu anaingia katika kipindi cha pili cha mchezo wa maisha. “Katika umri wa kati moyo hauna budi kufunguka kama ua la waridi na si kufunga kama kabeji,” alisema John A. Homes….

Read More