Year: 2018
Benki Kuu yaichunguza BOA
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeanza kuichunguza Benki ya BOA ambayo Gazeti la JAMHURI limeandika kwa wiki mbili mfululizo kuelezea jinsi inavyochezea dhamana za wateja, JAMHURI limeelezwa. Wateja wengi wa BOA wamejitokeza na malalamiko ya aina mbalimbali dhidi ya benki…
Amri ya DC Moshi yamchefua Askofu, wananchi Vunjo
Askofu mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini, Dk. Martin Shao, amepinga amri ya Mkuu wa Wilaya (DC) ya Moshi, Kippi Warioba, kuzuia ujenzi wa barabara vijijini katika Jimbo la Vunjo. Barabara hizo zinajengwa kwa…
Makamu wa Rais: Ole wenu wavamia hifadhi
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, ametoa onyo kwa wananchi wenye tabia ya kufanya shughuli za kibinadamu ndani ya maeneo ya hifadhi, akiwataka waache mara moja na wale watakaoendelea wasije kuilaumu serikali kwa hatua itakazochukua dhidi yao. Ameyasema hayo wakati…
Uonevu kwa wakulima ufikie tamati
Tunapongeza hatua iliyochukuliwa na serikali kwa wakulima wa korosho. Japo matokeo ya uamuzi huo hayajajulikana, lililo la msingi ni kuwa serikali imeonyesha kuwajali wananchi hao. Historia inaonyesha kuwa kwa miongo mingi wakulima wa mazao ya aina zote wamekuwa wakidhulumiwa licha…
Inawezekana kufanyika, fanya sehemu yako
Miongoni mwa maneno muhimu na ninayoyakubali kwa asilimia mia yaliyowahi kusemwa na Mwalimu Julius K. Nyerere, ni haya: “Inawezekana kufanyika, timiza wajibu wako.” Tumezoea kusikia watu wengi wakilalamika; na ngao kubwa ya kutofanya mambo makubwa huwa wanajikinga na ngao ya…
Kesi ya Jaji Warioba, TBA kusikilizwa mwakani
Kesi iliyofunguliwa na Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais mstaafu, Jaji Joseph Warioba, dhidi ya Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), imeahirishwa hadi Februari 11, mwakani. Jaji Warioba ambaye pia amewahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, anapinga kufukuzwa katika…