Year: 2018
Mbowe na Wenzake Kutoka Kizimbani Leo
Viongozi sita wa CHADEMA wanatarajiwa kuachiliwa kutoka kizimbani baada ya kulipa dhamana, siku ya Alhamisi. Viongozi hao wa chama cha CHADEMA, akiwemo mwenyekiti Freeman Mbowe, walishtakiwa kwa uchochezi ,kuleta vurugu na kuandamana mwezi wa Februari mwaka huu. Alhamisi iliopita, mahakama…
Mtibwa Sugar Wawapania Azam, Kombe la FA
Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar, Zuberi Katwila amejipambanua na amesema wamejiandaa vizuri kuhakikisha leo lazima wawafunge Azam FC na kutinga hatua ya Nusu Fainali Kombe la FA. Mtibwa Sugar inacheza mechi ya robo fainali ya Kombe la FA kwenye Uwanja…
Pigo kwa CHADEMA, Kampeni Meneja wa Godbless Lema Ajiunga na CCM
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Arusha kimepata pigo lingine baada ya Katibu Mwenezi wa CHADEMA ambaye pia alikuwa Meneja Kampeni wa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, Gabrieli Kivuyo (kushoto) amekihama chama hicho na kujiunga na CCM. Gabrieli…
Yanga VS Singida United, Kesho Mtoto Hatumwi Dukani Kombe la FA
Kikosi cha Yanga kesho kitashuka dimbani Uwanja wa Namfua kwa ajili ya kucheza dhidi ya Singida United kutafuta nafasi ya kutinga hatua ya nusu fainali Kombe la FA. Yanga ambayo ilikuwa imeweka kambi ya muda mfupi mjini Morogoro, tayari ipo…