JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2018

VLADIMIR PUTIN ASHINDA TENA KITI CHA URAIS KWA KISHINDO

Rais wa Urusi Vladimir Putin ameibuka mshindi kuliongoza taifa hilo kwa muhula mwingine ujao wa miaka sita baada ya kujipatia ushindi mkubwa.Ushindi huo ulitarajiwa katika upigaji kura uliomalizika siku ya jumapili.Hata kabla ya kura zote kuhesabiwa tayatri alikuwa amejizolea asilimia…

Chelsea yaifuata Manchester United Nusu fainali -FA CUP

Michuano ya FA Cup kuelekea hatua ya nusu fainali imepigwa hapo jana kwa michezo miwili ,Wigan Athletic waliondoshwa na Southampton katika michuano hiyo kwa kichapo cha bao 2-0 , huku Chelsea wakichomoza na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Leceister…

Mafanikio yoyote yana sababu (13)

Padre Dk Faustin Kamugisha Kujiamini ni sababu ya mafanikio. “Kujiamini! Kujiamini! Kujiamini! Huo ni mtaji wako,” alisema John Wanamaker. Kujiamini ni raslimali yako. Safari kuelekea kwenye jiji la mafanikio inahitaji mafuta yanayoitwa kujiamini. Uwezekano wa kushinda unazidi hofu ya kushindwa….

Soma vitabu uyashinde maisha

”Kama mtu fulani angeniambia kuwa siku moja ntakuwa Papa, ningesoma kwa bidii”                                                    – Papa Yohane Paul I Mtunga mashairi wa Uingereza George Gordon Byron Noel [1788-1824] alipata kuitumia kalamu yake kuandika hekima hii, ”Tone moja la wino wa…