JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2018

TCD: TUNATAKA KUMWONA RAIS MAGUFULI ATUSAIDIE KUPATA KATIBA MPYA

Kongamano la viongozi wa siasa na viongozi wa dini lilikoandaliwa na Kituo cha Demokrasia (TCD), limemalizika leo jijini Dar es salaam, huku wajumbe wakipanga kwenda kumwona Rais John Magufuli wakiwa na pendekezo la kukamilishwa kwa mchakato wa Katiba. Akisoma mapendekezo…

JAJI MKUU : MAHAKIMU SIMAMIENI MABARAZA YA KATA

Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma akisalimiana na watumishi wa Mahakama ya wilaya ya Nzega alipowasili kukagua shughuli za Mahakama. Jaji Mkuu ameanza ziara ya kikazi katika mkoa wa Tabora na Kigoma ambayo ni Kanda ya Tabora Jajki…

Kujiuzulu Zuma: Watawala Afrika wasiwe ‘miungu watu’

NA MICHAEL SARUNGI Jacob Zuma, Rais mstaafu wa Afrika Kusini ameondoka madarakani baada ya kuwapo shinikizo kutoka ndani ya chama chake cha African National Union (ANC). Zuma amejizulu wadhifa huo Februari 14, mwaka huu, huku akikana kuhusika katika tuhuma mbalimbali…

Tusome ishara za nyakati (3)

Na Pd. Tunda la Kanisa (M.afr)   Wiki iliyopita mwandishi alizungumzia dhana ya kumtegemea Mungu katika kila uamuzi uufanyao kama binadamu. Je, leo unafahamu anazungumzia nini? Endelea… Katika somo la pili mtume Paulo anatuasa kuwa kila mtu afuate wito wake…

Mimba ya ‘baba mdogo’ ilivyokatisha masomo ya msichana wa darasa la nne

NA EDITHA MAJURA Mwanafunzi wa kike mwenye umri wa miaka 14 katika Shule ya Msingi (xxx) mjini Dodoma, ameshindwa kuendelea na masomo kutokana na kupewa mimba na baba yake mdogo. Mwanafunzi huyo (jina tunalihifadhi) alipaswa kuwa darasa la tano baada ya…

Ethiopian Airlines wanakula nini?

Na G. Madaraka Nyerere Tumesikia hivi karibuni kuwa kati ya mashirika ya umma ambayo yanapata hasara kubwa ni Air Tanzania Corporation Limited (ATCL), shirika letu la ndege la Taifa. Kwa mujibu wa taarifa ya Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa…