Year: 2018
Hii ni aibu rushwa kukwamisha stendi
Habari tuliyoipa umuhimu wa pekee kwenye toleo hili inahusu mkwamo wa ujenzi wa stendi ya kisasa ya mabasi ya mikoani eneo la Mbezi Luis, Dar es Salaam. Tumeeleza namna vitendo vya rushwa vinavyotishia mradi huo mkubwa kwenye sekta ya usafiri…
Jitofautishe, fanya kitu fulani
“Kama unafikiri wewe ni mdogo kiasi cha kuleta tofauti, haujawahi kukesha usiku kucha ukiwa na mbu,” ni methali ya Kiafrika. Mbu ni viumbe wadogo sana, lakini wakati wa usiku tukiwa tumelala huwa wanafanya maajabu makubwa. Unaweza kuwa umelala na haujashusha…
Magufuli asante kuwatumbua Dk. Tizeba, Mwijage
Nafahamu leo zimepita siku kadhaa tangu Rais John Magufuli afanye uamuzi wa kuwatumbua Waziri mwenye dhamana ya Kilimo, Dk. Charles Tizeba na huyu aliyekuwa na dhamana ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage. Sijaandika lolote kuhusu kutumbuliwa kwao. Wasomaji wangu…
Zitambue dalili za sonona
Mwanamke mmoja kati ya watano, na mwanamume mmoja kati ya 10 wamewahi kupata sonona katika jamii zinazotuzunguka na kuleta matokeo hasi katika maisha yao. Takwimu hizi zinadhihirisha kuwa wanawake ndio wahanga wakubwa wa janga hili. ‘Depression’ ni neno la kisayansi…
Bravo: Rais Magufuli (2)
Sehemu ya kwanza, mwandishi wa makala hii alieleza namna wakoloni walivyoleta elimu kwa ajili ya kuwapumbaza Waafrika na kuwafanya wapuuze asili yao. Alieleza namna mkurugenzi wa kwanza wa elimu aliyeitwa Stanley River-Smith alivyokuja mwaka 1920 na kusimamamia utekelezaji wa sera…
ZEBAKI: Sumu hatari inayoua taratibu
Zebaki katika maeneo yenye uchimbaji mdogo wa dhahabu si msamiati unaotaka kamsi ya Kiswahili sanifu kujua ni nini na inafanya kazi gani. Katika migodi midogo iliyopo mkoani Geita, hususan machimbo ya Nyarugusu, Makurugusi, Lwamugasa na Mugusu, wachimbaji wadogo wameizoea zebaki…