JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2018

JPM ainoa safu yake

DAR ES SALAAM NA MWANDISHI MAALUMU   Julai 28, mwaka huu, Rais John Magufuli, alifanya uteuzi na uhamisho wa viongozi wa mikoa, wizara na wilaya. Amefanya mabadiliko hayo baada ya baadhi ya viongozi kustaafu, kuteuliwa kushika nafasi nyingine na wengine…

Iran kumchapa Trump

*Rais, majenerali wawili, Ayatollah wampa onyo kali *Wajipanga kwa vita kuiteketeza Marekani kila kona *Maninja waanza mazoezi jangwani, wadai wao si Korea *Uingereza, Ufaransa, China, Urusi, Ujerumani wamgomea TEHERAN, IRAN Wasiwasi umetanda duniani baada ya Jeshi la Iran kumpa onyo…

JWTZ watanda Mirerani

*Sasa hakuna kutorosha jiwe nje ya uzio *Wazalendo furaha, wakwepa kodi kilio SIMANJIRO NA MWANDISHI WETU Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limepokewa kwa shangwe kwenye dhima yake mpya ya kulinda migodi ya tanzanite, Mirerani mkoani Manyara. Uwepo…

TFF YAINGIA MKATABA NA BENKI YA KCB KUDHAMINI LIGI KUU BARA

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) na Benki ya KCB wamesaini mkataba wa kudhamini Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2018/19 wenye thamani ya shilingi Milioni 420. TFF wamefikia makubaliano hayo KCB baada ya wadau mbalimbali kuanza kuhoji juu…

Magufuli Ateua Wakuu wa Wilaya Wapya

  Rais Magufuli amemteua Jokate Mwegelo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Aidha, amemteua David Kafulila kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe Rais Magufuli amemteua Jerry Muro kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arumeru na Patrobas Katambi kuwa Mkuu wa…