Month: September 2019
Ndoto ya JPM ya zimamoto kutengenezwa nchini yatimia
Machi, mwaka huu, Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais John Magufuli, aliliagiza Shirika la Nyumbu lianze kutengeneza magari ya zimamoto. Hoja ya Rais Magufuli ilikuwa kwamba mpango huo ulenge kupunguza gharama kubwa za ununuzi wa magari…
‘Aliyeua’ mkewe mahakamani leo
Mfanyabiashara Khamis Lowongo (Meshack) mwenye umri wa miaka 38 anayetuhumiwa kumuua mke wake, Naomi Marijani, kwa kumchoma moto akitumia magunia mawili ya mkaa Kigamboni, jijini Dar es Salaam amekuwa na vituko mbalimbali kila afikapo mahakamani. Mtuhumiwa huyo kwa mara ya…
Mimba za utotoni tishio Tarime/Rorya
Mimba za utotoni sasa zimekuwa tishio wilayani Tarime, mkoani Mara. Taarifa rasmi zinaonyesha kwamba katika kipindi cha Juni hadi Agosti mwaka huu wanafunzi 51 wanatajwa kupata mimba na kuathiri masomo yao. Akisoma taarifa ya wilaya hiyo, Kaimu Mkurugenzi, Silvanus Gwiboha, amesema kuanzia…
Raia wa Afrika Kusini atupwa jela
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imemhukumu Christine Lindiwe ambaye ni raia wa Afrika Kusini kifungo cha mwaka mmoja jela au kulipa faini ya Sh 500,000 kwa kosa la kuingia nchini kinyume cha sheria. Katika kesi namba…
Wiki ya huzuni Afrika
Wiki iliyopita yamekuwapo matukio mengi, lakini kwa ngazi ya Bara la Afrika yaliyotawala ni vurugu za xenophobia nchini Afrika Kusini na kifo cha Baba wa Taifa la Zimbabwe, Robert Mugabe. Wageni kadhaa wanaofanya biashara zao nchini Afrika Kusini, hasa katika…
NINA NDOTO (34)
Niongee lini, ninyamaze lini? Baada ya kuandika makala yenye kichwa kisemacho: “Ukiwa na ndoto usipige kelele, kaa kimya,” katika Gazeti la JAMHURI, Toleo Na. 411 la Agosti 13-19, 2019 nimepongezwa na wasomaji kwa kunipigia simu wakiniambia kuwa makala hiyo…