JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2020

Kituko tovuti ya BoT

Mpita Njia (MN) anakumbuka miaka ile ya enzi zao watu waliofanya kazi Benki Kuu ya Tanzania (BoT) walionekana kama vile ni wateule wa Mungu. Walionekana wateule kwa sababu mazingira, aina ya kazi na mishahara yao viliwafanya wengi waamini kuwa hakuna…

Mauaji ya wanawake yatikisa Arusha

Kwa muda wa miezi miwili sasa Jiji la Arusha na vitongoji vyake limetikiswa na mauaji ya wanawake. Katika kipindi hicho zaidi ya wanawake kumi wameuawa baada ya kubakwa, kisha kunyongwa. Kwa mujibu wa watu walioshuhudia maiti za wanawake hao, nyingi…

Wapinzani wataweza kuungana 2020?

Ingawa vyama vya ACT-Wazalendo, NCCR-Mageuzi na CUF kwa nyakati tofauti vimebainisha haja ya vyama vya upinzani kuungana na kusimamisha mgombea mmoja katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu, hilo bado linaonekana kuwa jambo lililo mbali sana kuafikiwa. Hiyo inatokana na…

Yanahitajika Mapinduzi mengine Zanzibar

Asubuhi ya Januari 12, 1964, sultani wa Kiarabu na watu wake Zanzibar waliingiwa mshangao pale Waafrika ambao hadi wakati huo walionekana na kudhaniwa kuwa ni dhaifu, walipovamia kasri lake kumwondoa madarakani. Mshangao huo uliwapata pia baadhi ya Waafrika ambao waliaminishwa…

Vigogo Bodi ya Kahawa wahaha kujua hatima ya barua kwa DPP

Waliokuwa vigogo wa Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB), wanaoshitakiwa kwa makosa 15 ya uhujumu uchumi na utakatishaji wa fedha, wamemwandikia Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP) wakiomba kukiri makosa yao na kutaka kurejesha mabilioni ya fedha wanayodaiwa kuyachotaka wakiwa watumishi wa…

Uamuzi wa Busara (7)

Wiki iliyopita katika toleo hili la Uamuzi wa Busara tulisoma jinsi Mwalimu Julius Nyerere alivyofanya uamuzi muhimu  wa kujiuzulu nafasi ya uwaziri mkuu wa nchi kwa lengo la kuwapa moyo wananchi. Zaidi alijiuzulu nafasi hiyo ya uongozi ili wananchi wapate…