JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2020

Singeli kuifunika Bongo Fleva? (1)

“Kila kitabu na zama zake.” Usemi huu umejidhihirisha kufuatia kasi iliyopo kwenye muziki wa Singeli uliochukua nafasi kubwa katika masuala ya burudani nchini. Muziki huu umekamata maeneo mengi nchini kufuatia mirindimo na maneno yanayoendana na wakati uliochagizwa kwa kiasi kikubwa…

Mbape hakamatiki

Kylian Mbape, mshambuliaji mahiri wa PSG ya Ufaransa anatajwa kuwa ndiye mchezaji ghali duniani hivi sasa akiwa na thamani ya Euro milioni 265.2, akifuatiwa na Raheem Starling wa Manchester City ya Uingereza mwenye thamani ya Euro milioni 223.7. Lakini makinda…

Kocha gani ataiweza Ligi Kuu?

Kocha anayedumu ndani ya timu zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara kwa zaidi ya misimu mitatu anastahili kupewa pongezi siku ile anayopewa barua ya kufukuzwa kazi. Wengi wao wakidumu sana ni msimu mmoja tu, baada ya hapo sababu za ajira kusitishwa…

CAG amchunguza Dk. Kigwangalla

Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imeguswa na matumizi mabaya ya fedha za umma yanayodaiwa kufanywa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla, na kuna taarifa za uhakika kuwa imeanza kumchunguza. Pamoja na…

Mjue CDF Jenerali David Bugozi Waryoba Musuguri

Januari 4, 2020 Jenerali David Bugozi Waryoba Musuguri, alikuwa na hafla ya kutimiza umri wa miaka 100. Mamia ya watu walihudhuria sherehe hizo zilizofanyika nyumbani kwake Butiama mkoani Mara. Ufuatao ni wasifu mfupi wa Jenerali Musuguri uliosomwa siku ya kumbukizi…

Wafanyabiashara ‘wapewa’ kazi za Jeshi la Polisi

Jeshi la Polisi mkoani Mwanza ‘limebinafsisha’ baadhi ya shughuli zake kwa taasisi binafsi kwa madai ya kukosa vitendea kazi sahihi. Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI na kuthibitishwa na Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Mwanza, Sophia Jongo, umebaini kuwa kazi…