Month: August 2021
TCCIA kuwainua vijana kibiashara
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Rais wa Chemba ya Wafanyabiashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA), Paul Koyi, ametoa wito kwa vijana wanaojishughulisha na biashara kujiunga na chemba hiyo. Akizungumza wakati wa ziara yake Makao Makuu ya Kampuni ya Salim…
Chanjo ya corona ni hiari, lakini muhimu
Julai 28, mwaka huu Rais Samia Suluhu Hassan amezindua chanjo ya Covid-19 (corona). Katika uzinduzi huo uliofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, Samia, amechanjwa chanjo ya Johnson & Johnson inayotolewa kwa dozi moja ili kujikinga dhidi ya maambukizi ya ugonjwa…
Tunatia aibu, tunapuuzwa
Wiki iliyopita alifariki dunia mmoja wa watu niliowapenda na kuwaheshimu mno. Utendaji kazi wake uliniaminisha kuwa pengine hakuna haja ya kuwa na mfumo huu wa sasa wa Serikali za Mitaa katika miji, manispaa na majiji. Charles Keenja, alifanya kazi kubwa…
Maendeleo yetu na kasi ya teknolojia
Maendeleo ya mtu au watu (jamii ) yanahitaji masharti mawili – JUHUDI na MAARIFA, ambayo msingi wake mkubwa ni mtu (mwananchi) na uwezo wake. Katika utaratibu huu ili mwananchi aendelee atahitaji vitu vinne ambavyo ni Ardhi, Watu, Siasa safi na…
Yah: Hatujawahi kuwa siriasi kwa mambo ya msingi
Kama lingekuwa ni genge halafu lipo mahali fulani mbali huko tungesema kuna ‘chuma ulete’ katika vichwa vyetu, yaani leo tunalala na hili ambalo halijaisha na kesho tunaamka na jambo jipya ambalo limebuniwa kututoa katika reli ya mambo ya jana, sisi…
Wamfunda Makamu wa Rais Dk. Mpango
*Mawaziri wakuu wastaafu wamtaka asitoe matamko *Katibu Mkuu mstaafu CCM asema watampa somo vikaoni *Profesa asema ni matokeo ya kuua Kivukoni, IDM na Monduli *Jaji aonya matamko ni tanuri la migogoro, kutomheshimu Rais Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Wiki…