Year: 2021
Migogoro hii ya ardhi hadi lini?
Migogoro ya ardhi nchini ni miongoni mwa masuala yanayolitia doa taifa huku ikisababisha chuki na uhasama kati ya jamii moja na nyingine au kati ya mtu na mtu. Serikali iliunda kamati maalumu ya mawaziri wanane wa kisekta kutatua migogoro hiyo…
Uzembe wetu tusimsingizie Mungu
Kila mara tukiwa na mijadala ya maana, katikati hujitokeza upepo wa kutuyumbisha. Tukiwa bado kwenye mjadala wa athari za mabadiliko ya tabia nchi zilizosababisha upungufu wa maji jijini Dar es Salaam, kumeibuka mjadala mwingine wa ‘nani ni nani?’ Sikuona sababu…
Membe aibua mapya
DAR ES SALAAM NA DENNIS LUAMBANO Mwanasiasa Bernard Membe anasema kuna umuhimu kwa viongozi wote kufanyiwa uchunguzi wa kina ili kujua historia na taarifa zao kwa kuwa baadhi yao si Watanzania. Huu ni mfululizo wa habari zinazotokana na mahojiano maalumu…
DC ampa ardhi aliyechoma moto nyumba za wananchi
*Mwenyewe adai alipewa eneo hilo na Sokoine mwaka 1983 KIBAHA Na Mwandishi Wetu Wananchi wa Lupunga, Kibaha mkoani Pwani wamepigwa butwaa baada ya mwekezaji aliyewachomea moto makazi yao kuthibitishwa kuwa ndiye mmiliki halali wa eneo hilo. Wakazi hao, wengine wakiwa…
‘Membe uliponzwa na utovu wa nidhamu’
DAR ES SALAAM Na Dk. Boniphace Gaganija Nianze kwa kutoa pongezi zangu za dhati kwa Mheshimiwa Bernard Membe kwa kuelezea namna alivyofitiniwa na Rais Dk. John Magufuli na kupoteza nafasi ya kuchaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola. Pongezi…
MWAKA MMOJA MADARAKANI… Rais Mwinyi kuwalipa waliotapeliwa ‘DECI’
ZANZIBAR Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuwalipa watu waliotapeliwa mabilioni ya fedha kwa njia ya upatu. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya mwaka mmoja wa uongozi wa Awamu ya…