JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2021

Kifungo cha Zuma hakijaathiri sarafu

JOHANNESBURG, AFRIKA KUSINI Baadhi ya wataalamu wa uchumi walitabiri kuwa huenda thamani ya sarafu ya Afrika Kusini ikaathirika kwa kiasi kikubwa baada ya kiongozi wake wa zamani, Jacob Zuma, kujisalimisha polisi na kuanza kutumikia kifungo chake cha miezi 15 gerezani….

Wimbi jipya la corona majanga kwa Japan 

TOKYO, JAPAN Japan imetangaza hatua za tahadhari baada ya kuibuka wimbi jingine la maambukizi ya virusi vya corona. Nchi hiyo imetangaza kutenga kiasi cha yen trilioni moja (dola bilioni 9.1 za Marekai) kukabiliana na wimbi hilo. Hatua hiyo ya serikali…

Bandari ya Bagamoyo itumike kumuenzi JPM

BAGAMOYO  Na Mwandishi Wetu Kwa kiasi kikubwa nguzo za uchumi wa Kenya, mbali na utalii, ni kupakana kwa taifa hilo na Bahari ya Hindi na kuifanya Bandari ya Mombasa kuwa lango kuu la biashara kimataifa. Miezi michache iliyopita, Rais Uhuru…

La Stendi ya Magufuli Makalla umekosea

Na Joe Beda Rupia Amos Gabriel Makalla. Jina hili si geni kwa wengi. Huyu si mgeni katika nyanja za uongozi. Wala si mgeni hata kidogo katika siasa.  Kwa miaka mingi tu sasa amekuwa akisikika, kwanza katika viunga vya Ofisi Ndogo…

Msungu: Jamani ni sanaa tu!

DAR ES SALAAM Na Regina Goyayi Msanii wa filamu nchini, Stanley Msungu, amewatoa hofu mashabiki wake akisema kinachoonekana jukwaani si maisha yake halisi. Akizungumza na JAMHURI jijini hapa, Msungu anasema kumekuwa na shaka miongoni mwa mashabiki wa filamu wakihisi kwamba…

MOI yafundisha wataalamu zaidi wa upasuaji ubongo kupitia pua

*Mgonjwa hupona kwa muda mfupi  *Bima ya Afya ni suluhu upatikanaji huduma za kibingwa   DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) imepiga hatua nyingine kwenye maboresho ya miundombinu na vifaa vya kisasa katika upasuaji wa ubongo…