Year: 2021
TAMISEMI chunguzeni tuhuma za madiwani
GEITA Na Antony Sollo Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita, Kitengo cha ukusanyaji mapato wamemuomba Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu, kuunda tume ya wataalamu kufanya uchunguzi kubaini ukweli kuhusu tuhuma za ubadhirifu wa mamilioni ya fedha za…
Rais Samia Suluhu: Mjenzi makini wa demokrasia
Na Mwalimu Paulo Mapunda Kamusi ya Kiswahili Sanifu, Toleo la Pili la mwaka 2004, inaeleza maana ya neno “Demokrasia” kuwa ni mfumo wa kuendesha serikali iliyochaguliwa na watu kwa manufaa ya watu. Hivyo uhalali wa serikali yoyote ya kidemokrasia unatokana…
Rais Samia choma kichaka nyoka wakimbie
Na Deodatus Balile Wiki mbili zilizopita niliandika makala nikipongeza hatua anazozichukua Rais Samia Suluhu Hassan. Nimeeleza kukubaliana naye katika dhana ya kuchimba madini au mafuta hata kama yapo kwa maana kwamba hizi rasilimali zipo kwa ajili ya kusaidia kulikomboa taifa…
BoT yawaondoa hofu wananchi
DAR ES SALAAM Na Costantine Muganyizi Licha ya kuwapo changamoto hasa za kibiashara zinazotokana na athari za janga la virusi vya corona duniani, mwenendo wa uchumi wa taifa unaridhisha na kuleta matumaini ya kuzidi kuimarika kuanzia mwaka huu. Hiyo ni…
Katika hili Mtaka asiachwe peke yake
Mwanzoni mwa mwaka huu Tanzania imejikuta ikikumbwa na uhaba wa mafuta ya kula licha ya ukweli kwamba nchi hii imebarikiwa kuwa na ardhi nzuri yenye rutuba na maliasili za kila aina. Ni ukweli wa kutia aibu kwamba kwa miaka mingi…
Malima aonya usafirishaji binadamu
TANGA Na Oscar Assenga Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Adam Malima, amewatumia salamu mawakala wa wahamiaji haramu ambao wanautumia mkoa huo kuwapitisha na wale wanaopitisha dawa za kulevya, akionya wasijaribu kufanya hivyo, maana watakachokutana nacho kitakuwa historia kwao. Malima ameyasema…