Month: April 2022
Bandari ya Tanga kuchochea uchumi mikoa ya kaskazini, nchi jirani
TANGA Na Mwandishi Wetu Bandari ya Tanga ni miongoni mwa bandari kongwe hapa nchini. Bandari ya Tanga ilianza kujengwa mwaka 1888 na kukamilika mwaka 1891 ikijulikana kwa jina la Marine Jetty. Bandari ya Tanga ni ya kwanza kutoa huduma Afrika…
Hatua zichukuliwe kulilinda Ziwa Victoria
Kwa zaidi ya wiki tatu sasa tumekuwa tukipokea malalamiko kutoka kwa wananchi wanaoishi pembeni mwa Ziwa Victoria, wakilalamika kuhusu kukithiri kwa uvuvi haramu. Malalamiko hayo ambayo kwa namna fulani tumeyathibitisha, yanatoka kwa raia wema waliopo mwambao wa ziwa hilo, hasa…
Kiswahili, Kiingereza kama lugha za kufundishia
Ottawa, Canada Na Chambi Chachage Nilidhani makala niliyoandika kwa Balozi Togolani Mavura (#SikilizaTogolani) yenye kichwa cha habari ‘Kwa nini tutumie msuli ilhali njia rahisi ipo wazi kabisa?’ ingekuwa ya mwisho kuhusu mjadala wa Lugha Ya Kufundishia (LYK). Imani hiyo ilitokana…
VIAPO DHIDI YA RUSHWA: Tatizo lilipo na njia ya kupita
DAR ES SALAAM Na Abbas Mwalimu “Wengine tunaapa mdomoni tu, wengine tunaapa ndani ya moyo. Heshimuni viapo vyenu.” Mwisho wa kunukuu. Hii ni kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoitoa Aprili 2, 2022 Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma baada ya…
MIAKA 58 YA MUUNGANO Kero za Muungano zinavyotatuliwa
DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samson Sombi Nchi za Afrika zilianza kuvamiwa na kutawaliwa na mataifa makubwa ya Ulaya baada ya kumalizika kwa mkutano wa Berlin maarufu kwa jina la Kiingereza kama ‘Berlin Conference 1884/85’, uliokuwa na ajenda ya kugawana…
Utoro shuleni bado tatizo
DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samson Sombi Msingi mkubwa wa maendeleo, pamoja na mambo mengine, ni elimu bora inayotolewa kwa wananchi. Hakuna nchi duniani iliyofanikiwa kupiga hatua kubwa kimaendeleo bila kuweka nguvu katika elimu, hasa elimu ya wote – ya awali. Elimu…