Month: April 2022
BEI YA MAFUTA… EWURA, wahariri wataka mbadala
DAR ES SALAAM Na Joe Beda Wakati kupanda kwa bei ya petroli, dizeli na mafuta ya taa kukielezwa kuwa hakuepukiki, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imekubaliana na Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) kwamba kuna haja…
Dk. Mwinyi atoa salamu za Ramadhani, aonya
Zanzibar Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewasihi wafanyabiashara kutoutumia mgogoro wa Urusi na Ukraine kama kisingizio cha kupandisha bei za bidhaa katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Akizungumza katika risala…
Bandari ya Karema kuwa kitovu cha usafirishaji Ziwa Tanganyika
KATAVI Na Mwandishi Wetu Nchi inazidi kufunguka. Miradi mbalimbali imeanzishwa, inaanzishwa na itaanzishwa huku utekelezaji wa ujenzi wake ukiendelea kwa nia moja tu ya kuhakikisha uchumi wa nchi unazidi kuimarika. Miongoni mwa ujenzi wa miradi inayoendelea kutekelezwa ni ule wa…
Biden aamua ‘kudhulumu’ fedha za Afghanistan
Na Nizar K Visram (aliyekuwa Canada) Februari 11, mwaka huu Rais wa Marekani, Joe Biden, alitoa amri ya kutaifisha dola bilioni saba za Afghanistan zilizokuwa zimewekwa Marekani kama amana katika benki kuu. Alisema kati ya fedha hizo dola bilioni 3.5…
Dosari mojawapo Mkutano Mkuu wa CCM
Na Joe Beda Rupia Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) umefanyika jijini Dodoma wiki iliyopita. Ndiyo. Hili ni miongoni mwa matukio ambayo sisi wana habari hulazimika kuyafuatilia. Ni tukio kubwa nchini kwa kuwa hukusanya watu kutoka kila pembe…
Upekee wa mwezi wa Ramadhani na fadhila zake
Leo Jumanne Aprili 05, 2022, ni tarehe 3 Ramadhani (Mwezi wa 9 kwa Kalenda ya Kiislamu inayoanza Mwezi Muharram – Mfungo Nne) Mwaka 1443 Hijiriyya (toka kuhama kwa Mtume Muhammad –Allah Amrehemu na Ampe Amani – kutoka Makkah kwenda Madinah), kwa…