JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2022

Waziri Mkuu azindua kiwanda cha kuchakata maziwa Nsimbo
 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua kiwanda cha kuchakata maziwa cha MSS kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo, Mkoani Katavi ambacho kina uwezo wa kusindika wastani wa lita 10,000 kwa saa. Akizungumza baada ya kuzindua kiwanda hicho ambacho uwekezaji wake umegharimu…

Polisi yawaonya wanaopandisha bei za nauli za mabasi Arusha

Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kupitia Kupitia kikosi cha usalama barabarani mkoani humo limewaonya baadhi ya mawakala wanaopandisha nauli kiholela kipindi hiki cha mwisho wa mwaka kuwa halitowafumbia macho mawakala na wamiliki…

Waziri Majaliwa aagiza TAKUKURU kuichunguza MUWASA Katavi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza kamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Mkoa wa Katavi awachunguze watumishi wawili akiwemo Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Mazingira Mpanda (MUWASA), Hussein Nyemba kwa tuhuma za kukiuka taratibu za…

Maafisa ugani watakiwa kuwasaidia wafugaji kufuga kibiashara
 

Na Edward Kondela,JamhuriMedia Maafisa ugani kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa Mashariki wametakiwa kuhakikisha wanawasaidia wafugaji kufuga kibiashara na kuachana na ufugaji usio na tija. Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu Aswege Kaminyonge amebainisha hayo jana Mjini Maswa, wakati…