JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2022

Yanga kukutana na TP Mazembe,Simba na Vipers Kombe la Shirikisho CAF

Wawakilishi wa Tanzania katika Michuano ya Soka barani Afrika, Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF CL) na Kombe la Shirikisho Afrika (CAF CC) tayari wamepangwa makundi ya michuano hiyo msimu wa 2022-2023. Katika droo hiyo iliyoendeshwa na Shirikisho la Soka barani…

Mkenda:Ajira ya chuo kikuu isiwe kuangalia GPA pekee

Na Mathias Canal,JamhuriMedia, Dar Kuanzia sasa Serikali itaanza kuzitazama ajira za vyuo vikuu badala ya kuangalia ubora wa ufaulu yaani GPA pekee sasa waajiriwe kwa kupimwa uwezo wao kwa kufanya usaili. Kuangalia ufaulu pekee wa wanafunzi haitoshi kuboresha elimu badala…

Tanzania, Oman zainisha maeneo ya kushirikiana

Tanzania na Oman zimedhamiria kuchukua jitihada za makusudi kuimarisha ushikiano wa kiuchumi baina ya nchi hizo zenye uhusiano madhubuti wa kihistoria. Hayo yamebainishwa na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi hizo, Dkt. Stergomena L. Tax (Mb) na mwenyeji wake,…

Wakulima Manyara walia upatikanaji ruzuku ya mbolea

Wakulima mkoani Manyara wameiomba Serikali kuangalia namna ya kusambaza mbolea ya ruzuku kutokana na usumbufu wanaoupata kwa kukosekana vituo vya karibu. Wakizungumza na kituo cha redio cha Smile FM, baadhi ya wakulima kutoka Dareda, Mamire na maeneo mengine ya wilaya ya Babati wanasema wanatumia gharama kubwa…

Ubora wa bidhaa za wajasiriamali watia fora maonesho ya Juakali

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii,Wazee, Jinsia na Watoto wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Riziki Pembe Juma ameeleza kuridhishwa na namna Wajasiriamali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wanavyoongeza viwango vya ubora na ubunifu katika huduma na bidhaa…