Year: 2022
Ahukumiwa kunyongwa kwa kosa la kumnyonga mke na mtoto
Na John Walter,JamhuriMedia,Manyara Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Manyara imemuhukumu Shamswadini John (35), mkazi wa Hanang mkoani Manyara, maarufu kama Sikukuu kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya kuua kwa kukusudia ambapo amemuua mke wake aitwae Asia…
Hospitali Madaba kutoa huduma zote muhimu
UJENZI wa hospitali ya Halmashauri ya Madaba Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma upo katika hatua za umaliziaji. Mkuu wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Pololet Mgema amesema serikali imetoa shilingi bilioni 2.9 kutekeleza mradi huu ambao utawezesha kutoa huduma zote muhimu…
Mafia yaadhimisha miaka 61 ya Uhuru kwa kupanda miti
Mkuu wa Wilaya ya Mafia Mhandisi Martin Ntemo ameongoza wananchi kuamua kuadhimisha sherehe za miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania Bara kwa kupanda miti na kushiriki kwenye Kongamano ambalo lilikuwa maalum kujadili changamoto mbali mbali zinazowakabili walimu wanawake pindi wanapotekeleza…
UNHCR COMMEMORATES DAFI’S 30TH ANNIVERSARY
************************** UNHCR, the UN Refugee Agency, commemorated the 30th Anniversary of the AlbertEinstein German Academic Refugee Initiative (DAFI) Scholarship Programme thatcommenced in 1992. The programme benefits more than 22,500 refugee students from 55 countries, including Tanzania. On 6 December 2022,…
Chuo cha Bahari DMI chaomba miundombinu yake ikarabatiwe
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Chuo cha Bahari Dar es Salaam, (DMI), kimeomba serikali ikipatie meli ya mafunzo kwaajili ya kuwaongezea ujuzi wahimu wa mafunzo chuoni hapo na kimeomba miundombinu ya chuo hicho ikarabatiwe ili kwenda na wakati. Ombi hilo limetolewa na…