Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wajumbe wa Mkutano wa 10 wa Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 07 Desemba, 2022.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga kura kuchagua Mwenyekiti wa CCM Taifa pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Tanzania Bara katika Mkutano Mkuu wa 10 wa Chama Cha Mapinduzi CCM katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma
Baadhi ya Viongozi pamoja na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa 10 wa Chama hicho uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 07 Desemba, 2022.