Year: 2022
Polisi waungana na jamii ya wafugaji kupinga vitendo vya ukatili
Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi Jeshi la Polisi mkoani Arusha limesema litaendelea na mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto kwa kuhakikisha wanaibua na kuwachukulia hatua watu wote wanaojihusisha na vitendo hivyo. Hayo yamesemwa na…
Halotel kuwapatia wanafunzi wa vyuo salio la bure
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Katika juhudi zake za kusaidia sekta ya elimu hapa nchini, Kampuni ya Halotel imekuja na ubunifu mwingine katika kutoa huduma zake kwa wateja. Leo kampuni imetangaza huduma mpya inayolenga kuchochea usomaji kwa wanafunzi wa elimu ya juu…
VETA Karagwe inavyowakomboa vijana kupitia elimu ya ufundi
Na David John,JamhuriMedia SERIKALI ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Hassan Suluhu imeamua kuwekeza katika vyuo vya ufundi na ikapanua huduma zake katika Chuo cha VETA wilayani Karagwe ambapo awali kulikuwa na vyuo vya mkoa na vyuo ambavyo…