JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2022

Ujenzi bandari kavu ya Kwalala utarahisisha utendajikazi bandari ya Dar

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Uchukuzi), Bw. Gabriel Migire amesema kufikia Januari, 2023 Bandari kavu ya Kwala iliyopo mkoani Pwani itaanza kuhudumia mizigo itakayotoka Bandari ya Dar es Salaam na kuelekea mikoa…

Nyumba ya mwandishi wa habari yapigwa mnada kufidia deni la mil.5.2/-

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dar “Nilikuwa Dodoma kwenye kazi za uandishi wa habari ghafla nikapigiwa simu na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Kichangani, Kata ya Kinyerezi Wilaya ya Ilala kuwa nyumba yangu inapigwa mnada kwa sh.milioni 30 ili kufidia deni…

Rais Samia afuta sherehe za miaka 61 ya Uhuru

Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan amefuta sherehe za Miaka 61 ya uhuru na kuagiza fedha zote kiasi cha shilingi milioni 960 zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya sherehe hizo kuelekezwa katika ujenzi wa Mabweni katika shule 8 zenye wanafunzi wenye mahitaji maalumu…

Wanaohujumu mitihani kushughulikiwa

Na Mathias Canal,JamhuriMedia,Dar Serikali imeweka bayana dhaira yake ya kuchukua hatua kali za uwajibikaji kwa Maafisa Elimu wa Mikoa, Wilaya, Walimu na maafisa wengine wote wakiwemo askari ambao wamepewa jukumu la kusimamia mitihani. Hatua hizo dhidi ya wasimamizi hao wa mitihani zitahusisha…