JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2022

Uboreshaji bandari unahitaji uwekezaji

Na Stella Aron,JamhuriMedia NI lini Tanzania itaandika historia yake kwa kujiweka imara na kukuza uchumi kupitia biashara iliyoongezeka, kuvutia uwekezaji wa moja kwa moja wa kigeni na kutengeneza ajira kupitia bandari ya Dar es Salaaam. Kuna maswali mengi ambayo hukosa…

Medo amfukuzisha kazi Boniface Mkwasa

Aliyekuwa kocha mkuu wa Ruvu Shooting, Boniface Mkwasa ‘Master’ amebwaga manyanga kunako kikosi cha Ruvu Shooting kufuatia mwenendo mbaya wa timu hiyo ambayo imecheza mechi 15, ikishinda mechi 3, sare 2 na kupoteza mechi 10 huku wakiwa nafasi ya pili…

NMB yaongoza tuzo ya mwajiri bora

BENKI ya NMB imetangazwa kuwa Mwajiri bora wa mwaka 2022 katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) jijini Dar es Salaam mwishoni mwa juma. Benki hiyo mbali na kushinda Tuzo ya mshindi wa jumla…

Mabehewa SGR yamuibua Kigwangala

Mbunge wa Nzega kupitia Chama Chama you Mapinduzi (CCM), Hamis Kigwangala, ameibua mjadala juu ya mabehewa ya SGR yaliyonunuliwa na Serikali na kuingizwa nchini hivi karibuni kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC). Kupitia ukurasa wake katika mtandao wa Twitter Kigwangala…

Hawamtaki Kisinda ila wanataka miujiza ya usjili.

Kuna mashabiki wa Yanga wanaamini Kisinda akiondolewa kikosini ghafla tu watapata bonge la winga linaloishi vichwani mwao. Mpira una njia zake, wanapaswa kumuheshimu Kisinda na makocha wanaompa nafasi ili aweze kuendana na mfumo wa timu.  Wanayanga wanapaswa kufanya tathmini ya…

Aucho:Yanga zibeni masikio

Kiungo wa Yanga ambaye ni mchezaji bora wa Uganda kwa msimu uliopita, Khalid Aucho, amewataka mashabiki wa Yanga kuziba masikio na kuacha kusikiliza taarifa za uzushi kuhusu yeye.  Aucho amepost picha yake katika ukurasa wake wa Instagram akiwa ameziba masikio…