JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2022

Watu watatu wamefariki dunia wakiwemo wanandoa ambao ni askari polisi Mkoa wa Arusha, Noah Semfukwe (30) na Agnes Kiyeyeu (27), katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Tanangozi, nje kidogo ya Manispaa ya Iringa siku ya Jumanne, Desemba 20, 2022….

Tanzania yaandika historia ujazaji maji Bwawa la Mwalimu Nyerere

Maelfu ya wananchi wa mikoa ya Pwani, Morogoro na Dar es Salaam wamejitokeza katika zoezi la kuanza ujazaji wa maji kwenye Bwawa la Mwalimu Nyerere (JNHPP), lililopo wilayani Rufiji mkoani Pwani. Zoezi hilo la ujazaji maji linazinduliwa leo na Rais…

Rais Samia ashiriki zoezi la ujazaji maji bwawa la umeme la Julius Nyerere, Rufiji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kushiriki zoezi la ujazaji maji katika bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere (JNHPP) lililopo Rufiji Mkoani Pwani leo Desemba 22, 2022 Bwawa la umeme la Julius Nyerere linalojengwa…

Simba waiondolea Yanga presha kuelekea mechi ya Azam

Siku ya Sikukuu ya Krismas klabu ya Yanga itakuwa wageni wa Azam pale Uwanja wa Mkapa katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara mzunguko wa pili ambapo timu hizo zilitoka sare ya 2-2 katika mechi ya mzunguko wa kwanza.  Mechi…

Coastal Union wanapogeuka kituko badala ya kuwa mfano

Klabu ya Coastal Union ya Tanga imekuwa na matokeo ya kushangaza wiki hii hali ambayo sio njema sana kwa kila mpenda maendeleo ya mpira wa miguu hapa nchini. Coastal Union walimtimua kocha wao Yusufu Chippo masaa 12 kabla ya mechi…