Month: January 2023
CCM yazoa wanachama wapya 70 kutoka upinzani
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Rufiji Viongozi watatu wa upinzani kutoka Chama Cha Wananchi (CUF) pamoja na ACT Wazalendo pamoja na wafuasi wao 67 wamekimbilia Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Rufiji Mkoani Pwani,huku wakidai Mwenyekiti wa CCM Taifa Samia Suluhu Hassan ni Suluhu…
Sheria ya kuwabana wenye nyumba yaja
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Serikali imesema inakamilisha Muswada wa Sheria utakaoanzisha chombo cha kusimamia sekta ya milki (Real estate Regulatory Authority), kwa ajili ya kusimamia na kulinda maslahi ya wapangaji. Pamoja na shughuli zingine chombo hicho kitamlazimisha mwenye nyumba kutoza kodi…
Mama jela miaka mitano kwa kumchoma pasi mtoto wake
Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limemkamata Doreen Lema (30), mkazi wa Baraa katika Halmashauri ya Jiji la Arusha kwa kosa la kumchoma pasi ya umeme mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa…
Tanzania mwenyeji mkutano wa 77 kamisheni ya Umoja wa Afrika wa haki za binadamu
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi lililotolewa na Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika wa Haki za Binadamu na Watu Prof. Remy Ngoy Lumbu la kuitaka nchi ya Tanzania kuwa mwenyeji wa…
Kunenga: Msiwe chanzo cha vikwazo na kukwamisha maendeleo
Na Mwamvua Mwinyi,Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani, alhaj Abubakari Kunenge,amewaasa wakuu wa wilaya wasiwe chanzo cha vikwazo, kukwamisha jitihada za Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan,bali wakawatumikie na kuwahudumia wananchi. Aidha wameaswa kwenda kufanya kazi kwa karibu pamoja na kamati za…
Benki ya Maendeleo Plc yapata faida maradufu 2022
Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Benki ya Maendeleo Plc imepata faida ya shilingi Bilioni 1.3 mwaka 2022 ukilinganisha na faida ya shilingi milioni 587 ambapo ni sawa na ongezeko la zaidi ya mara mbili ya faida hiyo. Hayo yamesemwa Jijini Dar es…