Month: January 2023
Usimba wa Manara katika sakata la Fei Toto
Baada ya kusema ameongea na Feisal Salumu na amemuelewa hivyo atabaki Yanga, hii leo Haji Manara amebandika bandiko la sheria zinazoweza kuibana klabu ambayo itamsajili Fei Toto kutokea Yanga bila kufuata utaratibu. Nimejiuliza maswali kwamba ikiwa walielewana hiyo habari ya…
Ajali yaua watu sita wa familia moja wakitoka kula sikukuu
Watu sita wa familia moja akiwemo baba, anayejulikana kwa jina la Khumbulani Togara, mama na watoto wao wanne, akiwemo kichanga, wanaripotiwa kufariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea siku ya Boxing Day, Desemba 26, 2022. Ajali hiyo iliyozua gumzo kubwa…
Mpango awaasa Watanzania kudumisha amani
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philip Mpango pamoja na mkewe Mama Mbonimpaye Mpango leo tarehe 1 Januari 2023 wameungana na waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Yohane Bosco iliopo Miyuji mkoani Dodoma katika Ibada ya Misa…
TANROADS:Daraja la Tanzanite kufungwa kwa siku 8
Wakala ya Barabara (TANROADs) Mkoa wa Dar es Salaam imetangaza kufungwa kwa Daraja la Tanzanite kwa muda wa siku 8 ili kupisha maboreshna kuweka nembo ya Tanzanite katika daraja hilo. “TANROADS inawatangazia watumiaji wa Daraja la Tanzanite kuwa daraja litafungwa…